Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Klopp ilimchukua misimu mingapi🤠🤠..mbona unaongea kama fyuzi zimekata hivi kichwani....in almost 8 years ana EPL moja na UEFA moja...model ya Project ya Arsenal na Chelsea ni vitu viwili tofauti sisi tulikuwa na mizigo mingi aliyoikuta akaitoa yte akaleta watu kazi....asipobeba kombe kubwa in these 2 years then unaweza kuanza kumuuliza maswali magumu maana Kila kitu kapewa....halafu nikukumbushe tu kabeba hiko kikombe mlichomtoa Nyukesto kwa Penalt akiwa na beki ya kina Sokratis na David Luiz...sembuse Sasa ana Saliba na Malgalhaes pale nyuma...kaa kwa kutulia bwana mdgo show ndo imeanza rasmi
Tatizo mnamuweka Arteta kwnye meza moja na klopp na kipara, hapo ndipo mnapokosea na hapo ndipo tunatofautiana, hajatuprove chochote! pamoja nakupewa timu kw miaka mi4.
Na hawez kubeba kombe akitegemea vikina Martinel.

Sisi ni wabovu lkn nakuhakikishia Arse88 vs Chelsea, ni either chelsea ashinde au droo. nyie wenyewe mnafahamu kwnye timu ambazo mnazozihofia na chelsea pia imo. Ndio mana sina wasiwasi na nyie kuwepo pale juu.
 
Kwmba tunaihofia Chelsea🤣🤣...mara ya mwsho lini mmetufunga aisee...mbona unazidi kuharibu kwny kuropoka kwako....hiko kiwanja chenu si ni kama uwanja wetu wa mazoezi🤠🤠....sijawahi sema Arteta ni levels sawa na Kipara au Klopp...ila taja makocha watatu Bora kwa Sasa England tuone ni nani na nani...nimekupa mfano mdogo tu...Klopp anayeonekana ni kocha mkubwa kwlikwli...it took him 4 years kuweza kushinda Liverpool...na ana kombe moja tu la EPL na UEFA kama hayo ndo makombe makubwa kama unavyosema....Sasa kipi ambacho huelewi bwana mdgo
 
Sawa Arteta ndio timu yake ya kwanza, ila ana misimu mingapi mpk sasa hakuna alichokifanya? Kwa hiyo atajificha kwnye hicho kichaka cha ndio timu yake ya kwanza mpk misimu ifike mingapi?

Arteta ni mbabaishaji tu kama mwenzie pochi mashavu, utofuti Arteta anawapa hope ila hamna kitu mule.
Dogo amejitahidi lakini, tusimnyime hilo. Alianza na kumaliza nafasi ya 8. Then msimu unaofuata akawa wa 8 tena. Akapanda mpaka wa 5 msimu unaofuata then wa 2 baada ya hapo.

Sasa anakimbizana na Liverpool na Man City kugombea ubingwa. Hivyo ni kama kusema kwamba baada ya misimu miwili jamaa ameanza kugombea ubingwa. Ni kazi nzuri amefanya na sasa anatakiwa apambane ashinde taji. Kitu ambacho ni kigumu ila tunamuombea mafanikio.
 
Mnyonge anyongwe ila haki yake apewe jamani
 
Mkiendelea kucheza kama mnavyocheza sasa mpaka mwisho hakika mtabeba ubingwa msimu, labda aumie Odegard.
Nasikia Kelvin tena kaumia na Liverpool bado wanapambana na majeruhi, je hii ndio njia kwa Arteta kujichukulia ndoo?
Ila Kipara anakuwaga na majeruhi wachache sana kwa nini Chelsea wasijifunze huko anafanyeje
 
Fab aelezea jinsi Diego Costa alivyokuwa anampigia kelele Conte amuingize Fabregas kipindi cha pili dakika ya 78 baada ya defense ya West brom kushindwa kufunguka.

Conte alijifanya kutosikia na Costa akaendelea hadi dakiak ya 80 Fab akaingia na dakika ya 82 alitoa bonge la assist kwa Costa akafunga bao na Chelsea wakatoka na point zote tatu kwa ushindi wa 1-0

Tunajifunza nini hapo?

Barcelona ndio club inayosemekana kwamba ina hospital na madakatari bingwa wa mifupa na misuli duniani.

Pep ameifundisha Barca anajua siri za matababu yao. Na mpaka sasa kuna wachezaji majeruhi wa city huwa wanapelekwa Barca kufanyiwa uchunguzi wa majeraha yao.

Tujifunze Barca kwa utabibu wa wachezaji wetu.

F you’ve been watching the compelling Manchester City documentary, All or Nothing, then you’ll have seen a lot of Dr Ramon Cugat.

Every time a City player suffers a significant injury, he's sent to visit the grey-haired, bespectacled doctor at his clinic in Barcelona.

During the documentary we see Benjamin Mendy at the Quiron Hospital following knee surgery, cheering on his team-mates from the confines of his hospital bed.

Later on, John Stones is face down on a treatment table as a large needle is injected into his hamstrings. Both players were accompanied to Barcelona by City’s head physio, Lee Nobes, who we can see standing watching on with arms folded.

Cugat, a former Barcelona youth player, is a knee specialist, but City send their players to him no matter what their injury, such is Guardiola’s trust in his fellow Catalan.

So Kevin de Bruyne went to Barcelona for a scan after suffering a knee injury in training last week and will continue to visit Cugat during his two-month rehab.View attachment 2935074
Santi Cazorla akiwa Arsenal alipata bacterial infection iliyoanza kula joints za mguu wake. Arsenal doctors hawakujua shida ni nini mpaka Santi alivyoenda kuchekiwa Barcelona. Huko wakagundua tatizo na kumtibu mpaka akapona na kurudi uwanjani na Villareal.
 
Kwmba tunaihofia Chelsea🤣🤣...mara ya mwsho lini mmetufunga aisee...mbona unazidi kuharibu kwny kuropoka kwako....hiko kiwanja chenu si ni kama uwanja wetu wa mazoezi🤠🤠....sijawahi sema Arteta ni levels sawa na Kipara au Klopp...ila taja makocha watatu Bora kwa Sasa England tuone ni nani na nani...nimekupa mfano mdogo tu...Klopp anayeonekana ni kocha mkubwa kwlikwli...it took him 4 years kuweza kushinda Liverpool...na ana kombe moja tu la EPL na UEFA kama hayo ndo makombe makubwa kama unavyosema....Sasa kipi ambacho huelewi bwana mdgo
Hao makocha watatu bora wanatajwa in terms of nini labda mpk Arteta awepo? Nieleweshe hapo?
 
Dogo amejitahidi lakini, tusimnyime hilo. Alianza na kumaliza nafasi ya 8. Then msimu unaofuata akawa wa 8 tena. Akapanda mpaka wa 5 msimu unaofuata then wa 2 baada ya hapo.

Sasa anakimbizana na Liverpool na Man City kugombea ubingwa. Hivyo ni kama kusema kwamba baada ya misimu miwili jamaa ameanza kugombea ubingwa. Ni kazi nzuri amefanya na sasa anatakiwa apambane ashinde taji. Kitu ambacho ni kigumu ila tunamuombea mafanikio.
Ukisema amejitahid hapo nakuunga mkono ila kumuweka meza moja na kina pep na klop aisee hapo bado, hajatuprove kitu bado, na hawezi.

Msimu huu atamaliza na atasifiwa amejitahid, kama mwaka jana kuwa alipambana, na msimu unaokuja same story. Yaan kiduara.
Mnajua kwanini mnaitwa False Hoppers?
 
Wewe unachotaka ni kuona Arteta anachukua ubingwa. Baada ya hapo utataka uone anabeba double. Then utataka treble ili umkubali. Akipata treble utataka mpaka club world cup achukue.

Tunashukuru kwa hizo high standards ulizotuwekea. Tunatani yote hayo pia.
 
Hyu ana kijiba cha roho🤠🤠...akicheki wao walipo na wanavyoenda na mbele hakieleweki...halafu akiangalia wenzie wanavyopigana vikumbo pale juu...hataki kabisa kusikia Ten Hag ni Bora kuliko Pochettino🤠🤠...au Arteta ni one of the best pale EPL🤠🤠
 
Niambie kwnn mkuu tunaitwa hvyo...hatujawahi ku challenge ligi for almost 10;years kuanzia kipindi cha Wenger mwishoni mpk Unai...jibu ni very simple...hatukuwa na financial muscles za ku compete...City ameanza kuwa bingwa baada ya kutumia hela...Chelsea amekuwa bingwa baada ya kutumia hela...Liverpool amebeba beki wa £75 million Van Dijk kipindi hiko na akawa beki ghali akabeba ndoo...Arsenal kumnunua mchezaji £50 million ilikuwa miujiza....sasahv tunatoa hela tunanunua watu na nafasi tulokuwepo inajieleza kwny ligi...Sasa unataka ueleweshwe vp...mpira sasahv ni Investment na good management na vyte hvyo tunavyo...ndo maana nikakwambia in these 2 years asipobeba ndoo then nitaamini ni kocha average....nimekupa na mfano WA Klopp pia ukajifanya kichwa ngumu...Klopp mi nimeanza kumfahamu yupo Mainz 05 kule Ujerumani kama kocha...hakubeba kombe la ligi ila alionekana ni kocha mzuri mwny potential...akaenda Dortmund ndo akabeba ndoo ila UEFA fainali alidundwa...kaja Liverpool hyo misimu nlokutajia ndo kabeba hzo ndoo kubwa 2....Sasa unataka uelekezwe vp tena...ndo maana nikasema ww una hujui unachoongea ila unabisha kwa sababu unataka kubisha
...Ukisema amejitahid hapo nakuunga mkono ila kumuweka meza moja na kina pep na klop aisee hapo bado, hajatuprove kitu bado, na hawezi.

Msimu huu atamaliza na atasifiwa amejitahid, kama mwaka jana kuwa alipambana, na msimu unaokuja same story. Yaan kiduara.
Mnajua kwanini mnaitwa False Hoppers?

Ukisema amejitahid hapo nakuunga mkono ila kumuweka meza moja na kina pep na klop aisee hapo bado, hajatuprove kitu bado, na hawezi.

Msimu huu atamaliza na atasifiwa amejitahid, kama mwaka jana kuwa alipambana, na msimu unaokuja same story. Yaan kiduara.
Mnajua kwanini mnaitwa False Hoppers?
 
Hyu ana kijiba cha roho🤠🤠...akicheki wao walipo na wanavyoenda na mbele hakieleweki...halafu akiangalia wenzie wanavyopigana vikumbo pale juu...hataki kabisa kusikia Ten Hag ni Bora kuliko Pochettino🤠🤠...au Arteta ni one of the best pale EPL🤠🤠
Jamaa anateseka sana lakini sisi hatuwezi kumsaidia. Sisi kazi yetu ni kugawa vipondo tu kwa kila akatizaye mbele yetu.
 
Barcelona ndio club inayosemekana kwamba ina hospital na madakatari bingwa wa mifupa na misuli duniani.

Pep ameifundisha Barca anajua siri za matababu yao. Na mpaka sasa kuna wachezaji majeruhi wa city huwa wanapelekwa Barca kufanyiwa uchunguzi wa majeraha yao.

Tujifunze Barca kwa utabibu wa wachezaji wetu.

F you’ve been watching the compelling Manchester City documentary, All or Nothing, then you’ll have seen a lot of Dr Ramon Cugat.

Every time a City player suffers a significant injury, he's sent to visit the grey-haired, bespectacled doctor at his clinic in Barcelona.

During the documentary we see Benjamin Mendy at the Quiron Hospital following knee surgery, cheering on his team-mates from the confines of his hospital bed.

Later on, John Stones is face down on a treatment table as a large needle is injected into his hamstrings. Both players were accompanied to Barcelona by City’s head physio, Lee Nobes, who we can see standing watching on with arms folded.

Cugat, a former Barcelona youth player, is a knee specialist, but City send their players to him no matter what their injury, such is Guardiola’s trust in his fellow Catalan.

So Kevin de Bruyne went to Barcelona for a scan after suffering a knee injury in training last week and will continue to visit Cugat during his two-month rehab.View attachment 2935074
Barce wenyewe wanapambana na majeruhi ya pedri na gavi šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Labda unifahamishe unahis tulimfunga man city kw bahati, lile goli lilikuja tu lenyewe? Vp city walishindwaje kurudsha na kuongoza wao? na goli lilifungwa mapema tu. bahati hapo inatoka wapi?

TT alisoma madhaifu ya Pep akayafanyia kazi, ndio mana tuliwafunga ila siyo bahati.
Tulikosa chance za wazi sana kwenye hiyo game Pulisic akikosa yeye na kipa, kante pia alikosa nafasi ya wazi ile game tulishinda kwasababu tumlifunga man city kimbinu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom