Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ngoja msimu huu uishe anapotoka kapa ndio utajua Arteta ni kichwa box.
Mpaka sasa tu ashajitahidi kwa aliyoyafanya pale arsenal
Kwenda jino kwa jino na Pep na Klop sio kazi rahisi

Klopp mwenye kaambua 1 epl title mbele ya Pep unahis ni kazi nyepes
Klop yupo kwenye game kitambo tu

Ila Arteta ndio klab yake ya kwanza kuimanage na ameitoa team mahala pabaya sahiv washaanza kugombania baada ya mda watachukua tu tho sitaki icho kitu kitokee😂😂😂😂
 
Mwanzoni nilisema Arteta msim u huu na Arsenal wako vizuri nikaambiwa nguvu za soda, jamani gemu ya 28 tumebakiza mechi 10 bado hizo ni nguvu za soda, Saa nyingine acheni dharau na mumpe heshima yake. Unaweza siku moja ukakuta Arteta ndie anabeba jukumu hapa darajani
 
Una akili za kiduanzi kwli....yaani Arteta aje kufundisha Chelsea kwli??...Hana uwezo wa kufundisha Chelsea yule...ni kocha mdogo sana kwa timu kama Chelsea
 
Mwanzoni nilisema Arteta msim u huu na Arsenal wako vizuri nikaambiwa nguvu za soda, jamani gemu ya 28 tumebakiza mechi 10 bado hizo ni nguvu za soda, Saa nyingine acheni dharau na mumpe heshima yake. Unaweza siku moja ukakuta Arteta ndie anabeba jukumu hapa darajani
Humu ndani kuna watu wanamchukulia poa sana
 
Kwa sasa hivi wachezaji wa Chelsea wanaong'ara ni wale walionunuliwa kwa bei ya kawaida sana
  1. Gusto (£26m)
  2. Plamer (£42.5m)
  3. Jackson (£32m)
  4. Petrovic (£14m)
  5. Disasi (£38.8m)
  6. Colwill (£0m)
Hii inatoa ujumbe sajili zijazo ziweje
 
Mwanzoni nilisema Arteta msim u huu na Arsenal wako vizuri nikaambiwa nguvu za soda, jamani gemu ya 28 tumebakiza mechi 10 bado hizo ni nguvu za soda, Saa nyingine acheni dharau na mumpe heshima yake. Unaweza siku moja ukakuta Arteta ndie anabeba jukumu hapa darajani
Atreta ni mbabaishaji hawezi kubeba chochote na wale wachezaji, umtegemee Havertz na Martinel wakupe ubingwa!
 
Nadhani unashindwa kutofautisha kati ya chongo na kengeza kati ya bahati na uwezo.
Labda unifahamishe unahis tulimfunga man city kw bahati, lile goli lilikuja tu lenyewe? Vp city walishindwaje kurudsha na kuongoza wao? na goli lilifungwa mapema tu. bahati hapo inatoka wapi?

TT alisoma madhaifu ya Pep akayafanyia kazi, ndio mana tuliwafunga ila siyo bahati.
 
Timu zilizogeuza meza jana kwa kutumia home advantage
Arsenal Vs Porto 1-0, On Agg 1-1, penalties 4-2
Atletico Madrid 2-1, on agg 2-2 penalties 3-2
1710410843522.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom