Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

  • Anti Boehly chants.
  • Anti Pochettino chants.
  • We want our Chelsea back chants.
 
Mashjabiki wa Chelsea ugenini wanamuimba Roman Abramovich na kumtuka Boehly tusi ambayo iko kwenye mabano
Chants of "Roman Abramovich" and "Boehly, you're a c***" are coming from Chelsea's away end.
 
Mashabiki wanalalamika sana kwa nini Pochettino amemtema leo Mudryk
Hawezi kumtema mtoto wake wa mgongoni, Gallagher
Mimi ningekuwa Pochettino kwa leo ningempumzisha Enzo halafu Gallagher wakafanya pivot na Caicedo halafu Mudryk acheze kwenye LW

#POCHEOUT
Huyu atakuwa mhalifu kule alikotoka
Brentford alikuwa hawana ujasiri kabisa HT wamekuja kuifanya Chelsea ya watoto wa mtaani
Nilisema Enzo alitakiwa apumzishwe leo kachoka, mechi za nyuma zilionyesha, Leo Enzo katuchoma sana
Energy ya timu ndogo sana
Tufungwe tu ili huyu mhalifu anayejiita kocha wa football atoswe mbali huko
Baada ya mechi Pochettino anakuja kusema yale yale ambayo nilisema mwanzoni kabisa kwamba kwenye huu mfumo wa backline ya 3 angepumzishwa Enzo ili Gallagher na Caicedo watengeneza Pivot ya midfiel

Pochettino: "It was to provide the team a different way to play. We needed to provide the midfield the possibility not to cover too much distance. I think Enzo, Caicedo and Gallagher had to start but were really, really tired. I wanted to provide the team with a different way to play for different circumstances. I think we needed more consistency and to be more solid."
 
Baada ya mechi Pochettino anakuja kusema yale yale ambayo nilisema mwanzoni kabisa kwamba kwenye huu mfumo wa backline ya 3 angepumzishwa Enzo ili Gallagher na Caicedo watengeneza Pivot ya midfiel

Pochettino: "It was to provide the team a different way to play. We needed to provide the midfield the possibility not to cover too much distance. I think Enzo, Caicedo and Gallagher had to start but were really, really tired. I wanted to provide the team with a different way to play for different circumstances. I think we needed more consistency and to be more solid.
Hamna kocha hapa hajawah kosa sababu
Lengo la kumrudisha Casadei nini?
 
😷dogo alikua anakula namba kule championshp akaanza jipata saivi karud kwa poch anasugua bench2 😰
Halaf kuna mpuuzi analalamika wachezaji wamechoka,

Kwenye kufungwa anajicompare na Klop ila kwenye hali za mabadiliko o kuwapa wachezaji wengine nafasi hapo hawez jicompare nao
Shenzi kabisa huyu
 
Table hizo hapo za 1st half vs 2nd half
 

Attachments

  • IMG_2120.jpeg
    IMG_2120.jpeg
    99.9 KB · Views: 8
  • IMG_2121.jpeg
    IMG_2121.jpeg
    103.4 KB · Views: 8
😷dogo alikua anakula namba kule championshp akaanza jipata saivi karud kwa poch anasugua bench2 😰
Hii timu imejawa na watu wenye maamuzi ya kipumbavu sana. Kumuonea kijaa wa watu alikuwa anajijenga kule halafu unakuja kumuozesha kwenye benchi. Hii i laana na Pochettino hataikwepa hii laana ya kumsugulisha benchi Casadei na Maatsen. Mudryk kila akicheza vizuri mechi inayofuata anakula benchi ndio maana haongeziki ubora wake
 
Kipi unakiona mkuu?

Maana matatizo ni yale yale
1st half mnacheza vizuri halaf 2nd half mnacheza hovyo
Anaona kengeza, maamuzi ya kijinga ya kocha inatugharimu kila mechi, wachezaji hawataki kusema tu ila kuna kitu wanafanyiwa ndio maana waabadilika
HT wamekuja tofauti kabisa utafikiri ni timu mbili tofauti zilicheza
 
[emoji117] Chelsea fc ya (TODDY) ni Project UCHWARA na KITAPELI.

1. Wakurugenzi wa ovyo
2. Kocha kilaza
3. Wachezaji mazagazaga
4. Mashabiki sumu

"BLUE BILLION POUND BOTTLE JOB"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom