Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kabla ya goli Brentford walionekana na akili kushinda Chelsea ila baada ya kufungwa wanaonekana kutojiamini, Naomba Poche atumie fursa hiyo kuongeza mashambulizi na goli

Katika mechi 12 Brentfors wamepoteza 15 wamefungwa 12 na kushinda 3 hakuna droo
 
#POCHEOUT
Huyu atakuwa mhalifu kule alikotoka
Brentford alikuwa hawana ujasiri kabisa HT wamekuja kuifanya Chelsea ya watoto wa mtaani
Nilisema Enzo alitakiwa apumzishwe leo kachoka, mechi za nyuma zilionyesha, Leo Enzo katuchoma sana
Energy ya timu ndogo sana
Tufungwe tu ili huyu mhalifu anayejiita kocha wa football atoswe mbali huko
 
Kabla ya goli Brentford walionekana na akili kushinda Chelsea ila baada ya kufungwa wanaonekana kutojiamini, Naomba Poche atumie fursa hiyo kuongeza mashambulizi na goli

Katika mechi 12 Brentfors wamepoteza 15 wamefungwa 12 na kushinda 3 hakuna droo
Enhe
 
Mashjabiki wa Chelsea ugenini wanamuimba Roman Abramovich na kumtuka Boehly tusi ambayo iko kwenye mabano
 
Chelsea fc ya (TODDY) ni Project UCHWARA na KITAPELI.

1. Wakurugenzi wa ovyo
2. Kocha kilaza
3. Wachezaji mazagazaga

"BLUE BILLION POUND BOTTLE JOB"
 
Wachezaji wanaonekana wamerudi wakiwa waoga, sijui kocha kawapa maelekezo yapi lakini lazima maelekezo waliyopewa imeifanya timu kuwa very very terrible
 
1708444052893.jpg
 
Mpira ni mchezo wa wazi. Kila kitu kinaonekana tusifumbie macho jambo lolote. Sijui wenzangu hamuoni?

Inashangaza sana
 
Chelsea ni timu ya ovyo kuwahi kutokea Brentford kafanya comeback
 
Hii Brentford iko kwenye weakest point yake na tumeshidwa kuwafuga
Tunasubiri akina Newcastle, Arsenal, Westham, Astoinvilla tuwafunge ili tufunzu ligi za ulaya kweli?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom