Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,574
- 235,415
Ina maana mlishindwa kabisa kuwafunga wale watoto[emoji1787][emoji1787]Yote hayo ni kazi ya kocha
Wewe unajua mtaala ambao kocha anatakiwa kutumia kuwafanya wachezaji wawe capable
Yeye anaitwa Head coach na ana wasaidizi kila idara
Wanatuletea genge la wahuni utafikiri hakuwaanda wacheze mechi
Tactically Poche ni mdogo sana, Klopp kamuacha mbali sana
Kamuingiza watoto ili asisingizie squad ya umri mdogo na bado P{oche akazidiwa akili
Tukubali ili Chelsea angalau irudi kwenye heshima yake angalau ndani ya miaka mitatu, tutamuitaji kocha aliyethibitika na ikibidi aje kupewa mamlaka kamili ya wachezaji kuanzia usajili na mauzo