Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ujumbe kutoka kwa Reece James
 
Attachments

  • Screenshot_20240301_102445_Instagram.jpg
    Screenshot_20240301_102445_Instagram.jpg
    235.7 KB · Views: 7
Je wajua
Levi Colwill analipwa £5,000 kwa wiki na Conor Galagher analipwa £50,000 kwa wiki na huku
Malang Sarr akilipwa £120,000 kwa wiki?
Rahim Sterling akilipwa £325,000 kwa wiki?
Wesley Fofana akilipwa £200,000 kwa wiki?
 
Chelsea fc ya (TODDY) ni Project UCHWARA na KITAPELI.

1. Wakurugenzi wa ovyo
2. Kocha kilaza
3. Wachezaji mazagazaga

"BLUE BILLION POUND BOTTLE JOB"
 
nikushauri tu acha ulevi wa pombe zisizopimwa. Utakuja kunishukuru badae.

Unatuletea mada zako za kilevi hapa, we kwa akili zako timamu unaona kuna kocha mule, chelsea imecheza na vitoto vy vinavyovaa pampas then unasema walijitahid?? Kwa kuomba muda uishe waende penalties au?

Uachage kunywa matap tap ili uongee vitu vyenye maana mbele za watu.
 
Hujaelewa kaka, inshu sio kukosa hako kakikombe ka kahawa. Kinachouma tumefungwa na vitoto vy kindagaten.

Kosi la bilion 1000 likapak basi dhidi ya vitoto ili kungoja matuta. Nyie nyie kuna makocha ni wehu.
Hatari sana
Watoto akina Trey akina Quansah wanawalaza na viatu kosi la dunia la mabillion.

Kipochi oyeee
 
Kama ningekuwa Pochettino sitawahi kucheka au kuwalinda wachezaji wanaokosa nafasi za rahisi kama hizi. Nitawakemea tu na kuwaacha benchi kwa baadhi ya michezo nyingi tu ili wajifunze
Tofauti sasa yeye anacheka nao tu na kuwatetea kwenye media

Tunakubali sio failure zote tumlaumu Poche, lakini yeye ndie boss, sisi mashabiki tunamtazama yeye arekebishe kama kashindwa asepe, kwani lugha gani ngumu hapo, au sisi mashabiki ndio tukawachape hao watoto viboko? hapana

Mfano miaka miwili iliyopita tu Mudryk alikuwa na mchezaji bora wa Ukraine. Alikuwa anakiwasha sana kule Shakhtar Donetsk. Yuko wapi sasa hivi.

View attachment 2917819
View attachment 2917820
 
Sikiliza Kevin-Prince Boateng akimuelezea Dizerbi na jinsi anavyowafanya wachezaji chini yake kuwa wazuri
Alicheza Sosuolo wakati Dizerbi akiwa Kocha
Anasema Dizerbi ni mzuri kwa kufundisha mbinu za ndani
"Nimecheza chini yake nikiwa na miaka 32 na alinifanya kuwa mzuri"
"Anafundisha kila kitu, anasema kila kitu ukifanya iwe na sababu, kwa mfano kila mchezan akiwa uwanjano ana miraba ya options zimemzunguka kwa kila mchezaji ana options sita akiwa na mpira ya kupasi mpira, umbali, matumizi ya mwili, ubora wa pasi, mguu upi utumie na kwa uzito gani upige pasi"
Na mwisho akamalizia kuwa anawafanya wachezaji wa kawaida kuwa top players
Mimi namuomini kwa sababu ndivyo anavyofanya pale Brighton, wakija Chelsea wanaonekana wa kawaida kwa sababu wanakuja kuwa chini ya kocha asiye na clue za kuinua viwango vya wachezaji
Tukisema Poche atawadidimiza wachezaji na kuwafanya waonekane Matakataka mnatubishia
 
Kauli ya Pochettino kuhusu kumchezesha Mudryk kwenye Na. 10 mechi na Leeds United

"Nilifurahishwa na jinsi ilivyocheza. Ni vizuri kwake kuwa na nafasi tofauti ya kujisikia mchezoni na kumsaidia kuunganishwa na timu.

Nadhani ilikuwa nafasi ambayo ilimlazimu kuhusika zaidi na kuche za na kuusoma mchezo kwa njia tofauti ukilinganisha na wakati anapocheza upande wa kushoto."
1709329671337.png
 
Idara mpya ya Set Pieces kuanzishwa Chelsea ili kusaidia kujenga wataalamu wa kupiga kona, penalti, free kicks na kurusha mipira.
Inategemea kuwateau wataalamu wawili wa kushughulikia masuala yote ya Ste Pieces kwenye idara hiyo
Performance Director kwenye hiyo idara atawajibika kuwaanda hao wataalamu kuanzia kwenye academy hadi kwenye timu kuu

1709329993022.png

I
 
Chelsea inategemea kuwauza Iana Maatsen na Cucurella msimu ujao wa kiangazi
Kwa sababu hiyo sasa itawajibika pia kuingia sokoni kumnunua LB wa kusaidiana na Chilwell
Anayetajwa sana nio Archie Brown LB wa Timu ya Gents ya Ubelgiji ambaye pia ni Muingereza

1709330329263.png
 
Sikiliza Kevin-Prince Boateng akimuelezea Dizerbi na jinsi anavyowafanya wachezaji chini yake kuwa wazuri
Alicheza Sosuolo wakati Dizerbi akiwa Kocha
Anasema Dizerbi ni mzuri kwa kufundisha mbinu za ndani
"Nimecheza chini yake nikiwa na miaka 32 na alinifanya kuwa mzuri"
"Anafundisha kila kitu, anasema kila kitu ukifanya iwe na sababu, kwa mfano kila mchezan akiwa uwanjano ana miraba ya options zimemzunguka kwa kila mchezaji ana options sita akiwa na mpira ya kupasi mpira, umbali, matumizi ya mwili, ubora wa pasi, mguu upi utumie na kwa uzito gani upige pasi"
Na mwisho akamalizia kuwa anawafanya wachezaji wa kawaida kuwa top players
Mimi namuomini kwa sababu ndivyo anavyofanya pale Brighton, wakija Chelsea wanaonekana wa kawaida kwa sababu wanakuja kuwa chini ya kocha asiye na clue za kuinua viwango vya wachezaji
Tukisema Poche atawadidimiza wachezaji na kuwafanya waonekane Matakataka mnatubishia
View attachment 2921839
Si useme tu ni Caicedo😂
 
Mapenzi mabaya sana
Aletwe Dizerbi apewe hao watoto utaone tofauti hata kama ni ndogo
Dizerbi angekuwa na hawa wachezaji tungukuwa mitaa ya namba 7 au 6
Di Zerbi atafeli vibaya sana, THE BLUES kwa sasa mashabiki wake wengi wamejaa sumu makocha chipukizi hawatapata muda wa kurelax kujenga timu na kuhimili presha ya kubeba makombe.

Mashabiki sumu wanataka kocha aje nakuanza kubeba makombe, THE BLUES ya sasa ni hatare sana kwa makocha wa kujitafuta.

Tukubali tuu project ya vijana ni ya kitapeli na sio utamaduni wetu, tuletewe Morinyo au Conte turudi kwenye utamaduni wa kusajili matured word class players, turudi kwenye njia yetu za makombe.
 
Kwahiyo wanangu hamumtaki kipochi tena
Na hata mwaka hajamaliza
Kwa nini sasa umuite kipochi?
Baada ya kupita jukwaa la mapemzi nimejifunza maana ya kipochi...
Yaani ndiyo umeamua kumuita genius wetu hilo jina?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom