Mimi nimeamua kukaa kimyakubishania hii mada ya Poch kwa sababu hata siku ambazo tulicheza vizuri both halves bado alipondwa tu eti au mtawageukia wachezaji. Leo mnamponda kwa sababu second half timu imecheza vibaya.Wanaomtetea Poch 2nd half sijui leo mtasemaje
Au ndio mtawageukia wachezaji kama kawaida yenu
Chelsea ikicheza mashabiki wake wanapita mtaani wakirembua huku wanatingisha wowowo na kudai kua wao hawauzi wala hawagawi bure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji117] Chelsea fc (TODDY) ni Project UCHWARA na KITAPELI.
1. Wakurugenzi wa ovyo
2. Kocha kilaza
3. Wachezaji mazagazaga
"BLUE BILLION POUND BOTTLE JOB"
Hilo la wowowo ni arse8.Chelsea ikicheza mashabiki wake wanapita mtaani wakirembua huku wanatingisha wowowo na kudai kua wao hawauzi wala hawagawi bure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2919718
Mlevi wewe.Mimi nimeamua kukaa kimyakubishania hii mada ya Poch kwa sababu hata siku ambazo tulicheza vizuri both halves bado alipondwa tu eti au mtawageukia wachezaji. Leo mnamponda kwa sababu second half timu imecheza vibaya.
What a Nonsense determinants
Shabiki maarufu wa Chelsea ameuliza nani awe kipa namba moja, nikakutana na hii 😂Kwahy Sanchez amerudi 😂 huyu jamaa sijawahi kumuelewa
Sijui hata kwa nini tulimsajiliKwahy Sanchez amerudi 😂 huyu jamaa sijawahi kumuelewa
Jenerali Ulimwengu akizungumzia asili ya neno "tapeli"[emoji117] Chelsea fc ya TODDY ni Project UCHWARA na KITAPELI.
1. Wakurugenzi wa ovyo
2. Kocha kilaza
3. Wachezaji mazagazaga
"BLUE BILLION POUND BOTTLE JOB"
Tunapotofautiana kimawazo haina maana tufike huku, istaharabu na kuvumiliana ndio njia pekee ya kufurahia sportsMlevi wewe.
Comment zake unazielewaga?? Mi namshaurigi tu mkuu ila sio kwa ubaya, ulevi wa pombe zisizopimwa sio mzir hat kidogo.Tunapotofautiana kimawazo haina maana tufike huku, istaharabu na kuvumiliana ndio njia pekee ya kufurahia sports
Point muhimu sio vyema kutukanana kwa sababu wote kuwa mashbaiki wa timu moja ni dugu moja, tuvumiliane ndio muhimuComment zake unazielewaga?? Mi namshaurigi tu mkuu ila sio kwa ubaya, ulevi wa pombe zisizopimwa sio mzir hat kidogo.
Sanchez ni kipa hewa huyo, ni aina ya Kepa mrefu tu huyo. Tena Kepa angekuwa mrefu kama yeye angekuwa shot stoperShabiki maarufu wa Chelsea ameuliza nani awe kipa namba moja, nikakutana na hii 😂
View attachment 2920203
Yn mm nikimuona kwenye lineup najua hapo kuna sanamu, bora hata petrovicSanchez ni kipa hewa huyo, ni aina ya Kepa mrefu tu huyo. Tena Kepa angekuwa mrefu kama yeye angekuwa shot stoper