Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mudryk leo anacheza kama no 10 na anacheza vizuri san
Sisi mashabiki tunaona LW ni ya Jackson, No. 10 ya Mudryk, RW ya Palmer, LCB ya Colwill, RCB ya Disasi sijui kama Pochettino anaona kama tunavyoona au anaona kengeza?
 
Sikuwahi kuwa na mashaka na Mudryk, nilikuwa na mashaka juu ya uwezo wa Pochettino wa kukuza kipaji chake

1709152732714.png
 
Mnaona tunavyocheza hii second half??? Watu wakiwa wanasema msihisi wanachuki
Mpka sasa dakika ya 67 hakuna tunachocheza
 
FT.3-2
Goals
⚽️Jackson Assist Caicedo
⚽️Mudryk Assist Sterling
⚽️Galagher Assist Enzo

Quarter Final tutakutana na Leicester City
 
Wanaomtetea Poch 2nd half sijui leo mtasemaje

Au ndio mtawageukia wachezaji kama kawaida yenu
 
Goli la Ushindi la Gallagher dk ya 90 limefunika performance ya Chelsea isionekane mbaya zaidi ambao nimewahi kuona na kuokoa kibarua cha Pochettino
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom