Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu tulihitaji hata attacker mmoja either mudryk aingie o Jackson abaki kwa pace zao coz City walikuwa washaweka Highlin so tulihataj mtu wakuattack kwa counter.

Game tulikiwa tunaiweza kuwashambulia city kwa counter huku tukijilinda ila kuwatoa wote Palmer,Sterling na Jackson.

Tukaanza karibisha pressure.
Mkuu ila mimi naona kubadili shape kwenda backline ya 5 ilikuwa muhimu. Tungeweka attacker hao city wangetukanda dakika za mwishoni
 
Malo Gusto, Cole palmer Moja ya Sajili Bora za Toddy

Malo Gusto 20yrs old ,bonge Moja la FB ,nilimuona mechi Moja tu nikamkubali

Anakaba hadi kivuli,anapandisha timu vzr
For me sajili zote ni nzuri, kocha tu aache visingizio na awafundishe vijana namana ya kucheza soka
1708228224895.png
 
Naomba jamani Poche chonde chonde usimpange tena Jackson kwenye ustrika
Muweke winga wa kulia au kushoto au katikati na. 10 tuitampenda bure, sio mara ya kwanza Jackson akicheza wide anatupa vitu vizuri kama hivi. Anajua kuunganisha wenzake vizuri, anajua kuhold mpira na anajua kuanzisha build up na kuassists. Mimi namuona yeye kama wide winger kwa asili
 
Nyie jamaa huwa mnanifurahisha sana. Poch anafanya kila kitu ila kwenu always ni mbaya tu japokuwa wachezaji wanamuangusha lakini bado lawama ni kwa Poch.

Haya tutamfikishia ujumbe aache upuuzi.
Na nyie jamaa hata Poche avurunde mnahamishia kwa wachezaji ambao wao wako tu pale kupokea maagizo. Jana walipewa maagizo wamefanya. Subiri mechi hizo nilizotaja na uweke akiba ya pongezi kwa Poche
 
Naomba jamani Poche chonde chonde usimpange tena Jackson kwenye ustrika
Muweke winga wa kulia au kushoto au katikati na. 10 tuitampenda bure, sio mara ya kwanza Jackson akicheza wide anatupa vitu vizuri kama hivi. Anajua kuunganisha wenzake vizuri, anajua kuhold mpira na anajua kuanzisha build up na kuassists. Mimi namuona yeye kama wide winger kwa asili
View attachment 2907593
Usipompanga Jackson striker nani acheze ile nafasi?

Ni lazima acheze Jackson tu
 
Naomba jamani Poche chonde chonde usimpange tena Jackson kwenye ustrika
Muweke winga wa kulia au kushoto au katikati na. 10 tuitampenda bure, sio mara ya kwanza Jackson akicheza wide anatupa vitu vizuri kama hivi. Anajua kuunganisha wenzake vizuri, anajua kuhold mpira na anajua kuanzisha build up na kuassists. Mimi namuona yeye kama wide winger kwa asili
View attachment 2907593
Jackson kuendelea kucheza winga lazima tumpate Stiker kamili, la sivyo Jackson ataendelea ku-operates kwenye uwinga na ustriker.
 
Na nyie jamaa hata Poche avurunde mnahamishia kwa wachezaji ambao wao wako tu pale kupokea maagizo. Jana walipewa maagizo wamefanya. Subiri mechi hizo nilizotaja na uweke akiba ya pongezi kwa Poche
Siku nyingine wakipewa maagizo hawafanyi? Au kwenye hizo mechi unazozisema huwa hawafuati
 
Hawezi kudeliver kama akicheza wide
Nashukuru Poche na ujinga wake hana mtizamo kama wako
Hujanielewa hata nachozungumza umekurukupuka. Ngoja ni summarize, nilichomaanisha ile nafasi acheze nani pale mbele au unalazimisha abadili mfumo acheze bila striker anachezaje?

Amalazimika kufanya ivyo kumchezesha striker kutokana na ufinyu wa kikosi. Nakumbuka huku nyuma mlikua mnalalamika anawachezesha wachezaji out of position hasa Colwill kama LB na Disasi kama RB wakati ambao Chilwell, Gusto walikua majeruhi nikawa nawaambia awachezeshaje na wakati hakuna watu wa maeneo hayo?

Wakuu hivi huwa tunaelewana kwenye hizi mada au tunabishana tu ilimradi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom