Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chief unaweza kujituma mpaka tone kwa mwisho ila uwezo wa wachezaji ukafika mwisho + errors lazima ufungwe.
Hii game mlikuwa mnashinda, ujinga wenu tu.
Lakini siyo mbaya mmejitahidi.

Me nilivyokuwa naifikiria mechi iliyopita ya man city na Everton. Everton Kuna vipindi alimdominate man city, hata magoli waliyofungwa ni ya kibahati tu.

Nikajua Chelsea ana uwezo wa kuondoka na alama hata 1 dhidi ya city
 
Asanteni kwa kutupunguzia kasi ya Man City. Tulijua tu hamna uwezo wa kuwafunga.
Tutakuja kuwafunga wenyewe.
 
Mkuu tulihitaji hata attacker mmoja either mudryk aingie o Jackson abaki kwa pace zao coz City walikuwa washaweka Highlin so tulihataj mtu wakuattack kwa counter.

Game tulikiwa tunaiweza kuwashambulia city kwa counter huku tukijilinda ila kuwatoa wote Palmer,Sterling na Jackson.

Tukaanza karibisha pressure.
Halafu akamuingiza chezaji Challobah, tokea amaeingia nakuja kumuona anapasia nyavu.
Kuna wachezaji hawastahili hata benchi pale chelsea
 
Tunatengeneza nafasi nyingi ila execution ndio tatizo. Huyu Jackson kama Mzize tu
Bado mna utoto sana hasa pale mbele. Dogo Palmer ndio kidogo anajielewa. Gallagher ni mzigo.

Jackson yuko vizuri ila maamuzi ya mwisho bado.

Sasa kama ile counter wachezaji wawili (Jackson na Enzo) wanaenda kupiga shoot mpira mmoja wote wawili huo si utoto?
 
Wachezaji na kocha na benchi lote la ufundi wangenote game plan ya mechi kama hizi waache kutuuzi. Wakicheza hivi na Liva Carabao ni yetu
Carabao hamtashinda. Jitahidini tu mshinde shinde game kadhaa angalau mpate hata nafasi ya kucheza UEFA Conference.
 
Mkuu tulihitaji hata attacker mmoja either mudryk aingie o Jackson abaki kwa pace zao coz City walikuwa washaweka Highlin so tulihataj mtu wakuattack kwa counter.

Game tulikiwa tunaiweza kuwashambulia city kwa counter huku tukijilinda ila kuwatoa wote Palmer,Sterling na Jackson.

Tukaanza karibisha pressure.
Tumekosa magoli kipumbavu sana hawa City ilibidi wafe hata kwa goli tatu kwa zile clear chances tulizotengeneza. Mwisho huoni kama hawa jamaa wanahitaji kupumzika then aingize watu wa kulinda kilichopo ndio maana kaingiza Casadei na Chalobah wasaidie ukabaji.
 
Bado mna utoto sana hasa pale mbele. Dogo Palmer ndio kidogo anajielewa. Gallagher ni mzigo.

Jackson yuko vizuri ila maamuzi ya mwisho bado.

Sasa kama ile counter wachezaji wawili (Jackson na Enzo) wanaenda kupiga shoot mpira mmoja wote wawili huo si utoto?
Gallagher nafasi yake kubwa ni kutibua wasiweze kupasiana vizuri. Kacheza vizuri sana . Yeye tatizo lake sio creative player, yeye ni mtibuaji
 
Tumekosa magoli kipumbavu sana hawa City ilibidi wafe hata kwa goli tatu kwa zile clear chances tulizotengeneza. Mwisho huoni kama hawa jamaa wanahitaji kupumzika then aingize watu wa kulinda kilichopo ndio maana kaingiza Casadei na Chalobah wasaidie ukabaji.
Hata wao jana walitukosa kosa, Haaland kalogwa jana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom