Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,930
- 27,184
The might Willian ila akiamua kukukera utamchukia aseeh.
The might Willian ila akiamua kukukera utamchukia aseeh.
Panga kikosi chako kulingana na wachezaji waliopo sasa wa Man City na Chelsea. Palmer anaingiapalmer hapati namba city ww
Nafasi ya Walker mpe Gusto, walker anachezea uzoefu tu kachokaPanga kikosi chako kulingana na wachezaji waliopo sasa wa Man City na Chelsea. Palmer anaingia
Foden-Haaland-Palmer
KDB-Rodri-Alvarez
Chilwell-Ake-Stones-Walker
-Ederson-
Hapo kwa Willian angekuwa Broja kwanza angezima halafu anatafuta kwenda kushoto, halafu kulia tena hadi anyang'anywe mpira
Huwezi kumpima hivyo ndg, Brentford hawawezi mpa huduma nzuri mbele ya timu kama LiverpoolBrentford vs Liverpool.......
Mbona sioni huo ubora wa Ivan Toney anaozungumzwaga kwamba ni ST hatare Epl.
Sawa wacha niendelee kumfuatilia, naona chaguo letu kwa kwanza Victor Osimhen anaenda PSG.Huwezi kumpima hivyo ndg, Brentford hawawezi mpa huduma nzuri mbele ya timu kama Liverpool
Ubora wa Toney akicheza na mfumo unaompa service nzuri
Yuko strong na clinical, hiyo ndio sifa yake kuu
Nimeona mambo ya Toney hilo goli angekuwa Jackson angembabua kipa.Huwezi kumpima hivyo ndg, Brentford hawawezi mpa huduma nzuri mbele ya timu kama Liverpool
Ubora wa Toney akicheza na mfumo unaompa service nzuri
Yuko strong na clinical, hiyo ndio sifa yake kuu
Nkunku tumuweke wapi
Nafasi yake nzuri ni No. 10 au winger
Sasa
Kushoto tuna Jackson
Kulia tuna Palmer
Katikati yuko allagher
Tukimweka awe striker hakai huko kila saa utamuona akicheza kama Namba 10
Mimi ningeshauri Jackson alazimishwe acheze striker hadi azoee
na Line up sasa iwe hivi kwenye 4-2-3-1
---------------Jackson------------------
Nkunku --------- Gallagher -------- Palmer
---------Enzo ------------Caicedo -------
Chilwell ----Colwill ------Disasi ------Gusto
----------------Petrovic-----------------
Au Gallagher acheze deep na Caicedo apumzishwe kwa leo anapoteza mipira sana
---------------?????------------------
Jackson --------- Nkunku -------- Palmer
---------Enzo ------------Gallagher -------
Chilwell ----Colwill ------Disasi ------Gusto
----------------Petrovic-----------------






HahahahaMara paap Kipa ni Sanchez![]()
ndio nitaamini Poche ana matatizo makubwaHiki ndio kikosi cha kuanza dhidi ya Man City------------Jackson------------------
Nkunku --------- Gallagher -------- Palmer
---------Enzo ------------Caicedo -------
Chilwell ----Colwill ------Disasi ------Gusto
----------------Petrovic--------------
NAamini vijana watajituma leoKDB ndio tatizo kwetu, na kiungo yetu inavyoruka ruka KDB ataifanya kitu mbaya.