Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Komaeni nyie Chelsea, Liverpool tunataka ubingwa huu mjue 😀😀
 
Nilijua tu hii comment haiwezi kosekana. Naingia humu ndio nakutana nayo

Mkuu tulihitaji hata attacker mmoja either mudryk aingie o Jackson abaki kwa pace zao coz City walikuwa washaweka Highlin so tulihataj mtu wakuattack kwa counter.

Game tulikiwa tunaiweza kuwashambulia city kwa counter huku tukijilinda ila kuwatoa wote Palmer,Sterling na Jackson.

Tukaanza karibisha pressure.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom