Cash Money Forever
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 656
- 1,223
Hata kama kuna rungu la FFP usajili wa ST ni lazima.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Huyu jackson mmemuokota wapi?afadhali ya mavugo au yikpe
Huna timu ya kumfunga City wewe, Tulia ukandweNAamini vijana watajituma leo
Angalieni msije pigwa mvua ya magoliHuu mpira tunaocheza leo ni mwendo wa ngiri mkia juu
Mvua ya magoli ipi,wakati tunaongoza moja tayariAngalieni msije pigwa mvua ya magoli
Chief unaweza kujituma mpaka tone kwa mwisho ila uwezo wa wachezaji ukafika mwisho + errors lazima ufungwe.Kama umeangalia mechi 3 za nyuma za man city, utashangaa Chelsea asipoondoka na hata alama 1
Hii nguvu ya leo tungekuwa tunaitumia kila mechi tungekuwa top 4 wallah. Leo vijana wanajituma ile mbaya hakuna individual errors za kijinga.
Nimecheka sana hii [emoji115]Huu mpira tunaocheza leo ni mwendo wa ngiri mkia juu
Namna mlivyojipata mnakua mpk na jeuri ya kusema chochote. Sawa tuWanangu kenge msiniangushe🔥
Mkuu mpira sio majina lolote linawezekanaHuna timu ya kumfunga City wewe, Tulia ukandwe
Pendeni waafrika wenzenu nyieHuyu jackson mmemuokota wapi?afadhali ya mavugo au yikpe
Pendeni waafrika wenzenu nyie[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]