Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwani TODDY anategemea Chelsea tuu kuendesha maisha yake?

Chelsea ikishuka daraja ndio atakuwa amefilisika?
Chelsea sio ya Tod tu
Chelsea ina mashabiki makumi milioni kote duiani, kuwalet down kiasi hicho kwa sababu ya uzembe itakuwa ni aibu kwake. Pesa alizo nazo hazitatosha kumpa furaha wakati mradi mkubwa kama huu ukiporomoka
 
Wakati Chelsea ina nafasi kubwa ya kushinda ndipo inapofungwa na maudhi juu
Tuone keshokutwa Poche atakuja na mbinu gani za kuifunga Palace isiyokuwa na wachezaji wao muhimu. Chelsea ikishinda ina uwezo wa kurudi namba 10 au hata kuingia namba 9 kama Newcastle akifugwa leo
Injury list ya Palace
  1. Olise
  2. Eze
  3. Guehi
  4. Doucoure
  5. Holding
  6. Joel Ward
  7. Jesurun Sakyi
 
Hakuna mchezaji atakaeimprove chini ya Pochetino.

Kila mchezaji chini yake Wataonekana hawafai.

Fukuza hiii pochfat

Leta kati ya hawa
Arne Slot
Ruben Amorim
Naglesman
De Zerbi

Alternativ
Endelea fatilia maendeleo
Xabi Alonso
Farioli

Muone kama kuna wajinga watakuwa wanatusumbua kila gameweek

Naona Kabisa Xabi Alonso akienda Bayern au Liverpool
 
Hudson Odoi huko match in and out anaweka tu kambani migoli.

Goal 3 tu ndio useme anaweka migoal game in game out

Anyway Odoi ni mzuri ila injury aliyopata wakat wa Sarri ndio iliyovuga Carrier yake. Same to Loftus Cheek hawa wote walikuwa Promising ila injury walizopata katika umri uli halaf urudi ukute team ina pressure huwez perform.
 
Watu wameanza kumsifia kwa mapema mno
 
Yule jamaa anaweza akamaliza ligi bila kufungwa, mechi pekee nilikua nasubiri apoteze ni dhidi y Bayern, ila ndio kamkanda tatu.

Alonso ni kocha yule too bad hatuwezi mpata yule
Naona kabisa path yake Ni Liverpool,Bayern au Madrid incase Carlo akiondoka

Anakuja kuwa bonge la kocha ni watu tu hawafatilii mpira.
 
Xavi Alonso baada ya kumtwanga Tuchel na Bayern Munich yake 3-0 hapo jana anasema hivi:

"Tumedhibiti vyema wakati sahihi wa kupress, wakati wa kusubiri, ni nani akae na mpira, ambaye na ni nani asikae na na mpira."

Xabi Alonso akiwa na maelezo mengi juu ya ushindi wa 3-0 wa timu yake ya Leverkusen dhidi ya Bayern.

Mambo ya kujifunza

Kuna wachezaji wakipata mpira wanatakiwa kupasi haraka haraka kwani hawawezi kumiliki mpira wakijaribu kukaa nao wananyang'anywa
Mfano kwetu wa klwanza ni Mudryk, Broja kabla hajaondoka na hata Caicedo, sometime Sterling, Chilwell, Gallagher
Wachezaji wenye uwezo wa kukaa na mpira na kuutendea haki
Enzo, Madueke, Jackson, Nkuku, Gusto, Chukwuemeka, Palmer

Mabeki sikuwataja kwa sababu hawatakiwi kukaa na mpira ikiwa kua presure na opponent karibu

1707641863128.png
 
Goal 3 tu ndio useme anaweka migoal game in game out

Anyway Odoi ni mzuri ila injury aliyopata wakat wa Sarri ndio iliyovuga Carrier yake. Same to Loftus Cheek hawa wote walikuwa Promising ila injury walizopata katika umri uli halaf urudi ukute team ina pressure huwez perform.
Toka huu mwaka uanze amecheza mechi 8 kahusika kwenye magoli 4. Not too bad kwa mchezaji kama yule aliyetoka kwenye pressure kubwa na majeruhi ya muda mrefu. Goli alilofunga jana ni kama alilofunga Vinicius dhidi ya Girona
 
Alonso ni kocha yule too bad hatuwezi mpata yule
Naona kabisa path yake Ni Liverpool,Bayern au Madrid incase Carlo akiondoka

Anakuja kuwa bonge la kocha ni watu tu hawafatilii mpira.
Alonso hawezi kwenda Madrid tena maana Ancelotti amesha extend contract yake na Madrid mpaka 2026. Mwanzoni ilisemekana anaenda Brazil national team lakini imekua tofauti.

Tuombe tu asiende Liverpool abaki hukohuko.
 
Liverpool o Bayern mmoja wapo anamchukua huyo

Madrid inaweza isiwe now ila baada ya miaka 2-4 anaweza kwnda pale
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom