Mkuu John Terry anakuja mdogo mdogoTHE BLUES kocha halali yetu ni LAMPARD ndio zao letu, tusitamani kocha wa zao la jirani yetu.
Week hii hapatikani, tunashinda leoMpaka sasa kubwa jinga bado halijapatikana.
Guess who?[emoji16]
Tulia wewe, leo ndio tunaanza ligi kwa kishindo.Mpaka sasa kubwa jinga bado halijapatikana.
Guess who?😁
Tulia wewe, leo ndio tunaanza ligi kwa kishindo.
😂😂😂 inatia hasira, ila ndio hivyo kibahat bahat tutatetea nafas yetu y 10. tukitolewaga pale tunakuaga kama mbogo kutaka kurudi pale, utaona leo jinsi tunavyoitetea nafasi yetu y 10, tuna hati miliki nayo, msimu mzima tumeishi hapo.Kuidhamini hii tim kwa sasa inahitaji moyo[emoji23][emoji23] maana hujui wakat gani watashinda
Tanesco wamekata umeme game nalichungulia livescore, naona ball possesion tunaongoza kwa 80% on target 0, Palace on target 2.
Imekaaje hii.
Aisee bora tupgwe tu, maana hamna namna. Pengine Poch atatimuliwaNa tushapigwa kimoja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Possession ambayo haina manufaa[emoji16][emoji16][emoji16] mnakaa na mpira hamna threat yoyote mnayoonesha[emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee bora tupgwe tu, maana hamna namna. Pengine Poch atatimuliwa
Guys, sikutegemea kuwa Chelsea ndio tuko serious hvy.!
Rasmi nimenyanyua mikono juu KMMK