juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Huu hapa msumari mwingine wa utosi kwa wale wanaopenda kuona Poch anatimuliwa. Lakini tujiulize swali moja mpaka kufikia Poch kutoa kauli hizi means anajiamini na kujiamini huku kunatokana na aidha kupewa nguvu na management haijulikani wamezungumza nini juu ya mustakabali wake.
Tuemdelee kunywa supu, kama unahisi chumvi nyingi ongeza maji.
Hizo ni propaganda tu.
Nini maana ya kutumia 1B kwenye usajili, If ni project ilikuwa ni taratibu unasajili kama Liverpool.
Do you know inamaana gani hiyo? Financially
Unajua why Msim huu tunahitaji kurudi kwenye ueropean night (UCL,UEL or UECL)
If unahis ni project ya 3yrs kaa hapo usubir what will happen katika miaka 3 ambayo hushiriki uefa, ushindi kombe lolote then angalia kipi kitatokea