Charlz ze son conscious
JF-Expert Member
- Aug 22, 2019
- 563
- 856
Bado hamjasema
January hii hapo ingieni sokoni tena kwa pupa

January hii hapo ingieni sokoni tena kwa pupa




Angalia kwa mfano goli la wazi la Sterling, yuko pale Palmer na Jackson na goli tupu
Angalia uchezaji wa Jackson, huyo hata kumsubiri akue haifai, ni aibu kwa Chelsea kuwa na mchezaji kama Jackson
It is an abomination and insult
Kiukweli hatufiki popote na huyu Poch ,trust me
Kuwa na Jackson an Broja uwanjani ni bora kucheza nusu. Hawana msaada wowote hao mabegweKwa kocha anaejielewa hawa wote wangeanza sugua bench ili akili zikaw sawa.
Ila kwa sababu tuna wamiliki wa hovyo baadala ya kutatua tatizo ndio kwanza wanakimbilia kwenye PR na Kwenye kusajili
Hata aje nani as long as kocha bado ni Pochetino hii hali itaendelea
Chelsea angeliwa , Ila Man United imeoza yote hadi kocha wao uozo tuHizi imoji zimebeba uchungu mkubwa
Mm kenge au siyo 😂Hizi imoji zimebeba uchungu mkubwa
Pole sana ewe kenge wa darajani
Siku Chelsea SC ikishinda mechi 4 tu mfululizo mtanistua nije kutamba jukwaani, Pochettino anasababisha wengine tusionekane sababu nnzi wa Arsepimbi, Mwantesa Utd, Liverkuku na Mwacity hujaa sana humu.Halaf kuna Watu mnamtetea
Hembu mtuoneshe tactical anazofanya Pochetino zinazoleta matokeo au ambazo zinazoonekana
View attachment 2851823
Ukilinganisha mpira walioucheza Arsepimbi na Liverkuku 23/12/2023 utagundua Chelsea SC hawana hadhi ya kucheza kabisa EPL maana mpira Wachezaji hawakabi, Beki zinarudia rudia makosa ya kipuuzi mara nyingi tu, hakuna Mchezaji anayejaribu kupiga mashuti ya mbali zaidi ya Gallagher pekee, hawatumii nafasi za wazi kumaliza mashambulizi japo si wote.Chelsea ina cheza vizuri sana kama mapungufu yapo ni madogo sana !
Ball linatembea sana tu , kuna movement una ziona !!
Changamoto yao kubwa hawana namba 9 anaye jua kazi.
Kuwategemea Palmer na Rahim kupata magoli ni Dhambi hii !!
Beki za kati za Chelsea zina mapungufu hakuna kiranja , hakuna Swiper kama Wolves wangekuwa na washambuliaji hatari aisee
Chelsea angeliwa , Ila Man United imeoza yote hadi kocha wao uozo tu
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Neglesman naye bado ni mchanga mno kiuwezo, hapo tungepata Kocha kaliba ya Klopp tungeteleza sana kiubora.Staki kuamini kama tulikaa almost miez 3 tukitafuta kocha tukawaacha Naglesman etc tukaja kumuona Pochetino
Afu kuna Kenge hukataa duniani hakuna bahati, hivi Jackson anachezaje Ulaya tena EPL ilihali Mayele anacheza Africa? Inafikirisha sana.Angalia kwa mfano goli la wazi la Sterling, yuko pale Palmer na Jackson na goli tupu
Angalia uchezaji wa Jackson, huyo hata kumsubiri akue haifai, ni aibu kwa Chelsea kuwa na mchezaji kama Jackson
It is an abomination and insult
Mabeki ni mdebwedo Mtu anaruka free header afu beki anamshika shati au anamkumbatia kwa chini, nawakumbuka sana akina Terry, Ivanovich na Canavaro walivyokuwa wakatili kutocheka na kima kwenye penalty box.if unahisi shida ni wachezaji
Kipi tumefanya uwanjani hapo ndio watu wanapolalamika
Je kunapattern yoyote ya kiuchezaji??
Why unawatumia wachezaj nje ya nafasi zao ?
Why Game nyingi tunaruhusu magoal ya vichwa huku almost CB zetu ni 6.0+ kwenye urefu