Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hahaha sasa mkuu unakuwa mkali mambo yanavyokwenda vibaya wakati huu, wakati wewe na Lembu mlituaminisha Poche ni bonge la kocha:-

Anaibua , kunoa na kukuza vipaji

Pattern zake za uchezaji ni zaidi ya Pep.

Tutegemee mpira wa makombe

Bahati nzuri members hapa tumetokea kuwaamini sana katika uchambuzi, labda mliteleza bahati mbaya kumsifia Poche

Ngoja nitafute hizo post zenu sio kwa ubaya lakini.

We nimekwambia leta post niliyowahi msapoti

Tangu anateuliwa nilisema sina imani nae
 
1706959742569.png

View: https://twitter.com/VdykCFC/status/1753558566806356362
 
Chelsea imekuwa na kadi 73 za njano na nyekundu zikijumlishwa kwenye Premier League msimu huu, zaidi ya timu nyingine yoyote.
1706960051724.png
 
Broja to Fulham kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu
 

Attachments

  • Screenshot_20240203_090249_Instagram.jpg
    Screenshot_20240203_090249_Instagram.jpg
    62.6 KB · Views: 6
Kwahiyo kina Modricky na Palmar wamekatazwa na FA wasifunge na wakakubali wakati kina Jota wao wameruhusiwa na FA wafunge?
Acha kujitoa ufahamu, wenzio wanajua mlipewa mbeleko ndio mana wametulia, wewe kucha unajipitisha humu. Si utulie. na ushindi wenu wa mezani.
 
Today Line up

--------------------Nkunku----------------------

Sterling ------------Gallaher--------------Palmer

---------Enzo-------------------Caicedo--------

Chilwell-------Silva-----------Disasi --------Gusto

-------------------Petrovic---------------------

Subs
  1. Bettinelli,
  2. Begstron,
  3. Badiashile,
  4. Gilchrist,
  5. Casadei,
  6. Chukwuemeka,
  7. Madueke,
  8. Mudryk,
  9. Jackson.
 
Debut alianza na assist
Mechi ya pili 2 goals
Tunaweza tukabadilisha mwelekeo kwenye usajili wa striker msimu wa kiangazi
Update: Sorry hio assist hakuipatia Burnley, kumbe mechi ya jana ndio debut yake a akafunga goli 2

Alitoa Assist dhid ya Man City licha ya kufungwa 3-1
 
Debut alianza na assist
Mechi ya pili 2 goals
Tunaweza tukabadilisha mwelekeo kwenye usajili wa striker msimu wa kiangazi
Update: Sorry hio assist hakuipatia Burnley, kumbe mechi ya jana ndio debut yake a akafunga goli 2

Kwa kocha gani kwanza? Kama Matsen kamuona hafai unahisi Fofana atamuona anafaa
 
Kwa kocha gani kwanza? Kama Matsen kamuona hafai unahisi Fofana atamuona anafaa
Kuna sehemu akasema alimuacha Maatsen kwa sababu uongozi ulimuweka kwenye ratiba ya kuuzwa nikajibu mbona na Gallagher aliwekwa kwenye ratiba kama hiyo hiyo lakini kila mechi hakosi?
 
Kuna sehemu nimesom kuwa Chelsea wameamua kumjumuisha Chalobah kwenye timu ya kwanza
Mwaswali
Kwani alikuwa ametolewa?
Si alikuwa ni majeruhi?
 
Hawa wachezaji wa Pochettino hawako agressive na mpira kabisa na ndio inayowaangusha

Pia ball contrtol ni mbovu kabisa a wanazidiwa na Wolves

Wolve wako na mpira mara chache ila wakipata ball control na agresisveness inawafavours

Too much to watch this Chelsea shit

Mabeki hawajui kutumia miili yao kuzuia mashuti, wanazuia mashuti kistaharabu mno ona sasa two deflections two goals
 
Sterling hata acheze vibaya kiasi gani ila anauhakika mechi ijayo ataamza ila kwa wengine wakicheza vibaya tu nikosa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom