lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,740
- 26,036
Halafu hilo goli wamelishangilia zaidi ya goli 6 za kwetu. kuifunga timu kama Chelsea nyumbani kwaake kwao ni sifa kubwa ambayo itawakaa vizazi na vizaziHapana tumewapa la kufutia machozi, kizuri kula na nduguyoooo.