Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,930
- 27,184
Mkuu nitake radhi. Mimi nimeongea vitu vinavyofanyika wewe unaongea theories yan vitu ambavyo bado havijatokea. Nimetolea mfano wa Spurs sijui umeipotezea wapi hiyo mada.Usifananishe kihivyo mkuu, Serie A na EPL tofauti. Mwenzako katoa mfano wa Spurs ambayo inacheza EPL. Na hata kule Serie A, pulisic ni yule yule wa mabao 6 hadi 8. kwa vile ligi dhaifu anaweza akajitahisi akafikisha goli 10 kwa msimu. Sasa hapo kaongeza nini?
Hakuna sehemu namremba Poch na sina sababu hiyo. Anaangushiwa lawama sasaivi na ndiye atakayekuja kufukuzwa ila nyuma kuna uzembe mkubwa wa viongozi, period
