Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwani mkuu kuna mtu kasema Chilwel alipaswa kuanza???
Gilchrist kwani alikuwa anacheza vibaya???Jibu ni hapana

Angalia wakat Disas anacheza kama RB na Chilwel kama LB uone kama Villa walikuwa hawatushambulii.

Hakuna anayesema flan angeanza wote tunajua hali ya Chilwel ikoje ila katika Game ambayo umeikamata halaf unafanya Sub na kubadilisha muundo wa team wakat muundo wa kwanza ulikuwa vizuri ni ukosefu wa akili huo.
Utasemaje game umeikamata na magoli hufungi? Ndio maana sub zilizofanyika ni hasa katika ushambuliaji. Yote ni katika kujaribu namna nyingine ya kupata matokeo na hiyo inaonesha Poch mentality yake haikua kupata sare.
 
Sub alizofanya ndio zimeenda kubadilisha muundo au unahis wachezaj huwa wanaweka muundo wao wenyewe kama maelezo ha Kocha
Kama sub ya Chilwell target ilikua kuanza kushambulia kutokea chini pembeni ndio maana ya ile sub. Hiyo ni ishara yalikua ni maelekezo ya kocha. Wachezaji hawawezi kujichezea tu ili mradi
 
Madueke anacheza vizuri, kosa kosa ya madueke ni kawaida kwa wachezaji wenye umri kama wake. Tatizo la Poche kulalamikiwa ni mfumo wake wa uchezaji na upangaji mbovu wa wachezaji, kupendelea wachezaji fulani na kuwa axe wengine bila sababu. Issue itakayobaki ni mashab iki waliokuwa wakisema wachezaji wa Chelsea ni wa viwango vya chini. na Sisi wengine tunakataa hilo. hawa wachezaji tulionao ni wa viwango vya juu, ubovu ulikuwa kwa kocha kulazim isha mifumo isiyofanya kazi
Poch analazimika kuwachezesha wachezaji out of position kutokana na ufinyu wa kikosi. Hata angekuja kocha gani kwa kikosi hiki mlitegemea kina Gallagher achezaje? Colwill au Disasi? Poch mwenyewe anajua tuna ufinyu wa kikosi na wachezaji average what do you expect hapo?

Huu ndio uhalisia
 
Najaribu kumwambia Southern Highland hili jambo hataki kuelewa Sub za Poch huwa majanga wakat mchezo tunapoluwa tumeukamata
Sasa mkuu unasema mchezo umeukamata kwa dakika 70 hupati goli utafanya nini? Lazima ufanye sub kujaribu watu wengine uone watafanya nini. Halafu pia sub ni kama kamari pia. Juzi hapa tumeshuhudia game ya Egypt na Ghana. Ghana amecheza vizuri kufikia kupata uongozi wa goli 2-1 lakini kuna sub ya beki ilifanyika jamaa likaingia kuchoma kabisa.

Haya mambo kwenye mpira ni very normal kutokea. Mlitaka awaxhezeshe wachezaji walewale mwanzo mwisho bado mngesema hafanyi sub🤣
 
Kuna watu huwa hawataki kuliona hili Tukianza muongelea Poch wanahisi tunachuki
Hata tukiungana wote tumchukie Poch au wachezaji hakuna kitu tunaweza badilisha, tunachofanya hapa tunabadilisha mawazo kulingana na kile tunakiona na kukielewa hivyo kwa lugha nyepesi ni kama burudani tu.

Back to the topic. Sikua na maana Gilchrist ni mbaya au alikua hasaidii ila nilichomaanisha ni lengo la Coach ni kutaka kushambulia kutokea chini. Hii inasaidia kuongeza idadi ya watu tunaposhambulia.
 
We jamaa hujuagi mpira.
 
Chelsea wanaendelea kuimarika, back pasi zimepungua kwa asilimia kubwa. na through ball zinaanza kuonekana, Naona wameanza na kutumia pia long balls.
#Poch IN
 
Utasemaje game umeikamata na magoli hufungi? Ndio maana sub zilizofanyika ni hasa katika ushambuliaji. Yote ni katika kujaribu namna nyingine ya kupata matokeo na hiyo inaonesha Poch mentality yake haikua kupata sare.

Swala la kufunga hapo ni mchezaj mwenyewe ila jins mnavyocheza mnavyotengeneza nafasi ndio kinachozungumziwa,
Vila mda wote alikuwa yuko nyuma kabla ya sub hazijafinyala na nafasi tulikuwa tunatengeneza baada ya zile sub ulionaje villa nayeye akaanza kutushambulia na sisi ndio kama tukawa tunatafuta sare vile mda huo
 
Sasa mkuu unasema mchezo umeukamata kwa dakika 70 hupati goli utafanya nini? Lazima ufanye sub kujaribu watu wengine uone watafanya nini. Halafu pia sub ni kama kamari pia. Juzi hapa tumeshuhudia game ya Egypt na Ghana. Ghana amecheza vizuri kufikia kupata uongozi wa goli 2-1 lakini kuna sub ya beki ilifanyika jamaa likaingia kuchoma kabisa.

Haya mambo kwenye mpira ni very normal kutokea. Mlitaka awaxhezeshe wachezaji walewale mwanzo mwisho bado mngesema hafanyi sub

Kulikuwa hakuna ulazima wakumuingiza Chilwel sana Wakuingia alikuwa either Chukumweka. Nafasi anayopewa Broja bora apewe Washington.
 
Hata tukiungana wote tumchukie Poch au wachezaji hakuna kitu tunaweza badilisha, tunachofanya hapa tunabadilisha mawazo kulingana na kile tunakiona na kukielewa hivyo kwa lugha nyepesi ni kama burudani tu.

Back to the topic. Sikua na maana Gilchrist ni mbaya au alikua hasaidii ila nilichomaanisha ni lengo la Coach ni kutaka kushambulia kutokea chini. Hii inasaidia kuongeza idadi ya watu tunaposhambulia.

Mkuu kama unafatilia sub anazofanya poch huwa ni zile like for like.

Huko kushambulia kutokea chini why huwa anamunzisha Chilwell LW huku Colwil akicheza LB ?

Inshort Poch ni mbahitishaji, Tactically hayuko vizuri
 
Utasemaje game umeikamata na magoli hufungi? Ndio maana sub zilizofanyika ni hasa katika ushambuliaji. Yote ni katika kujaribu namna nyingine ya kupata matokeo na hiyo inaonesha Poch mentality yake haikua kupata sare.
Sub ilishusha agressiveness ya kupress na Aston Villa wakapata mwanya wa kutushambulia, kipa alifanya kama save 3 za maana, angekuwa Sanchez angeachia mbili katika hizo 3. kip-indi cha kwanza tuliwaweka mfukoni Aston Villa ni mabao tu ndizo zilizokosekana kwa sababu ya poor finishing. Badiashile na Gilchrist walimiliki vizuri nafasi za pembeni
Alipoingia Chilwell na Disasi kuhamia kwenye RB ndipo Chelsea ikaanza kushambuliwa kiholela
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom