lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,380
- 25,480
Ila wewe ndg unamchukia Gallagher kiasi kwamba hata akicheza vizuri hutakaa unoteGallagar ni takataka, hana msaada wowote.
Ila wewe ndg unamchukia Gallagher kiasi kwamba hata akicheza vizuri hutakaa unoteGallagar ni takataka, hana msaada wowote.
Leta hiyo hotuba hapa kwa kiingereza, hajasema hivyoNa wewe ndugu unamchukia Poche kwa kila kitu.
Hiyo kauli ina shida gani? Kasema tusitegemee beji itashinda mechi au kuwa na jina kubwa ndio kushinda mechi
Kwa maana kwamba wachezaji wasibweteke bali wanatakiwa wajitoe kimwili na kiakili kushinda hiyo mechi.
Na atakuja kuwa moto wa kuotea mbali na atanunuliwa euro 100+ ndani ya muda mfupi ujao , Dortmund sio wajinga waleIan Maatsen kashaondoka kwenda Dortmund ila kasaini mkataba wa miaka miwili
View attachment 2866524
Ameenda kwa mkopo nduguNa atakuja kuwa moto wa kuotea mbali na atanunuliwa euro 100+ ndani ya muda mfupi ujao , Dortmund sio wajinga wale
We ngoja uone watakamvomfanya kuwa beast ,timu yetu ina tatizo la kuua vipaji recently
Option ya kumnunua haipo ni mkopo tu, Chelsea wanataka kumuuza kwa ushindani kipindi cha kiangazi na ndio maana wameforce mkataba wa miaka miwili zaidi hadi Jun 2027Na atakuja kuwa moto wa kuotea mbali na atanunuliwa euro 100+ ndani ya muda mfupi ujao , Dortmund sio wajinga wale
We ngoja uone watakamvomfanya kuwa beast ,timu yetu ina tatizo la kuua vipaji recently
Mkuu hata Rais wa nchi hapangiwi cha kuongea ila kama wewe ni kiongozi utachagua maneno ya kuongea kwenye public na kwa watu unaowaongoza, kiloa neno unalokosea kuongeza lina consequences zakeSasa unataka mashabiki tumpangie kocha nini cha kusema?
Kwani kwenye mkataba wake kuna kipengele kilichomuelekeza nini cha kusema au kutokusema?
Hiyo poster mbona inasema kasaini mkataba na Chelsea mpaka 2027, wewe unasema kaenda Dortmund na kasinya miaka miaka miwiliIan Maatsen kashaondoka kwenda Dortmund ila kasaini mkataba wa miaka miwili
View attachment 2866524
Umenielewa tofauti au maandishi yangu yalmekuja kiutata ila ni vizuri poster imefafanuaHiyo poster mbona inasema kasaini mkataba na Chelsea mpaka 2027, wewe unasema kaenda Dortmund na kasinya miaka miaka miwili
Sijajua tuna tatizo gani ila IAN ni mchezaji mzuri na anaweza kutusaidia hiki kipindi ambacho timu inakumbwa na majeruhi kila dakika. Kule anaenda kuwa fire aseeUmenielewa tofauti au maandishi yangu yalmekuja kiutata ila ni vizuri poster imefafanua
Kule kaenda mkopo tu bila buy obligation na ndio amana Chelsea wamemsainisha extension ya miaka miwili ili waweze kumuuza kwa ushindani July 2024
Mkeka ushachanika au?Mshalombwa 1

