Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,199
Dakika ya 85,
Chelsea 2 - 1 Man U
refa amalize mpira
Dakika ya 85,
Chelsea 2 - 1 Man U
namuona mchezaji wetu mtarajiwa anaingia "kalou".
lol mkubwa si mmesema mnataka mil 9? au mmebadilisha mawazo? naona mmeandaa pound mil 45 kwa ajili ya PATO.You're living in dreamland
Invisible Muda muda bado ngapi?
dakika 90 zimeshapita, mbona hauishi banaaa?
lol mkubwa si mmesema mnataka mil 9? au mmebadilisha mawazo? naona mmeandaa pound mil 45 kwa ajili ya PATO.