Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kuna mchezaji wa kubadilika ila sio Ghallager, yule sio talented ni mchezaji wa kujifunza darasani. Manguvu mengi akili kidogo.
Hata mwanafunzi wa kujifunza anaweza akapata flying colors, mafanikio huja kwa talent na juhudu au zote mbili
Kuna wachezaji na wewe unawajua wameenda mbali kimafanikio sio kwa sababu ya tallent bali juhudu
Mfano Messi ni tallented ila CR7 ni juhudi na wote wamekwenda mbali kimafanikio
I belive in Gallagher akiweka juhudi mbele kama anavyofanya sasa
 
Timo Werner anakuja tena EPL safari hii kuichezea Spurs wapinzani wetu wakubwa. Naona akifit kwenye style ya uchezaji wa Ange

1704559306935.png
 
--------------Broja---------------

Mudryk -------Palmer ------Sterling

---Enzo --------------- Caicedo---

Colwill ---Gilchrist ---Disasi ---Gusto

-----------Petrovic----------------

Subs
  1. Bergstrom GK
  2. Bettinelli GK
  3. Thiago Silva CB
  4. Maatsen LB
  5. Williams LB
  6. Gallagher CM
  7. Golding CM
  8. Madueke RW
  9. Washington ST
 
Hivi kwenye hichi kikosi Gilchrist anacheza nafasi gani hapo
--------------Broja---------------

Mudryk -------Palmer ------Sterling

--Enzo --------------- Caicedo---

Colwill ---Gilchrist ---Disasi ---Gusto

-----------Petrovic----------------

Subs
  1. Bergstrom GK
  2. Bettinelli GK
  3. Thiago Silva CB
  4. Maatsen LB
  5. Williams LB
  6. Gallagher CM
  7. Golding CM
  8. Madueke RW
  9. Washington ST
 
HT.0-0

Performance ya hovyo.

Likocha sijui hata linafundisha nini na mishavu yake
 
Gilchrist sio natural FB
Gusto sio LB na si Azplicueta

Mawinger wanakiwa hopeles hakuna mtu wakuwasaidiq hivyo nakufanya kuwa wawil (2) kwa mmoja

Una matsen ambaye ni natural lB why usimtumie dhidi ya hawa watoto wa championship

Each week tunaonekana worse kuliko hata wiki zilizopita
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom