Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Unaongoza 3-0. Bado unamuingiza Galagher wanini

Wakat kuna madogo wa academy uwape nafasi

Uwoga tu ndio umemjaa
 
1704570163511.png
 
Hawa wachezaji akili yao ni moja

Mudryik
Madueke
Anthony
Martnel.
Elanga

Richarlson
Jackson
Broja
Nketah

Jackson anakitu akifanyia kazi swala la kufanya maamuzi katika nyakati sahihi atakuwa striker moja mzuri sana na akafanyia kazi finishing yake

Hivyo viwili tu akiviweka vizuri anakuwa bonge la mchezaji

Vingine vyo anafanya vizuri sana

Madueke ni nafasi tu kujiamini

Mudryk anahitaji kocha tu atakae mpolish
 
Hakuna player ni wajinga wajinga awajiongezi kupachika mabao
 
Chelsea wametaja bei yao kwa Conor Gallagher, ambaye anavutia Tottenham katika dirisha dogo la usajili la Januari. The Blues wanamthaminisha kiungo huyo wa kimataifa wa Uingereza kwa hadi pauni milioni 60.

Licha ya hayo, Gallagher anakusudia kubakia kupigania nafasi yake hapo Chelsea na kocha mkuu Mauricio Pochettino pia anatamani kumbakisha Stamford Bridge. Mkataba wa Gallagher umeruhusu mwaka mmoja na nusu tu kumalizika, hakuna maendeleo makubwa ya kuongeza mkataba.
1704649313315.png
 
Mnakaonaje kale ka kipa ketu, mi naona ni hazina kubwa sana....

Napata imani tunaweza toboa top four. Timu inatembea na magoli yanaanza kupatikana. Broja tuendelee kuishi naye maana hata tukichukia ni wa kwetu tu hatuna pa kumpeleka.
Nkunku atarudi lakini si leo, anahitaji dakika nyingi uwanjani.

Kumuuza Conor Gallagher dirisha hili ni kunyoosha mikono juu kwamba Top Four sasa ni kusahau.
 
Ndg, acha kuota mchana
Poche bado hajarekebisha timu
Bado midfield inapwaya, bado mabeki wana makosa ya binafsi
Bado majeruhi ya wachezaji muhimu inatuandama
Tukipata nafasi ya 7 ni matokeo mazuri kabisa kwa Pochettino
 
Mimi kila siku naona top 4 ipo wazi sana, timu za juu zetu pia hazina consistency kwenye matokeo...bado naona top four ipo wazi sana
 
Kwenye hichi Kigenge cha kanyuzi eti napo pana watu wanajadili mpira 😂
Yani wanajazana ujinga tu hapa hakuna cha maana wanachojadili na kuchambua zaidi ya Lembu kubeba kijiji kama hamis77 wa Arsenal na Arenal wenzake 😅
 
Mnakaonaje kale ka kipa ketu, mi naona ni hazina kubwa sana....

Napata imani tunaweza toboa top four. Timu inatembea na magoli yanaanza kupatikana. Broja tuendelee kuishi naye maana hata tukichukia ni wa kwetu tu hatuna pa kumpeleka.
Nkunku atarudi lakini si leo, anahitaji dakika nyingi uwanjani.

Kumuuza Conor Gallagher dirisha hili ni kunyoosha mikono juu kwamba Top Four sasa ni kusahau.
Gallagar ni takataka, hana msaada wowote.
 
Hotuba ya Pochettino kuendea mechi ya Karabao Cup Semi Final na Middlesbrough:

"Watu wanaweza kufikiria, sawa ni Chelsea, lakini hiyo inatafsiri kwa timu na ikiwa tunaamini kuwa sisi ni Chelsea na tutashinda kwa sababu ya beji hii, nadhani tutakosea sana.

Tunahitaji kuwa wanyenyekevu
ili kutambua kwamba, kwenda huko na kusema tunahitaji kuwakimbiza, kuwa wakatili, wote kwa pamoja, kulingana na matamanio yao. Kwa hali hiyo labda tutapata nafasi ya kushinda."

Pochettino ni mlevi na anaweza kuwa wa bangi, nachukia hotuba zake, muongeaji kupita kiasi na maneno yake hayana ushawishi kwa wachezaji na mashabiki hata kidogo.
Tutegemee hiyo mechi wachezaji wataanza kucheza kimlenda mlenda na hakutakuwa na msukumo wowote
Mashabiki hawakuipenda hii hotuba zaidi ya zote alizowahi kutoa huyu mwehu na nadhani hata kule kwenye uongozi
Makocha wote wanawaamasisha wachezaji waingie uwanjan i na mori ya ukatili ili kutoruhusu timu pinzani kucheza na kuchez akwa nia ya kushinda yeye anawaambukizia unyenyekevu na huruma
Natumaini wachezaji hawatafanya kama alivyosema
1704790427782.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom