Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Total ly mkuu, hamfuatilii Gallagher, hata kama sio elite player kwenye hiyo nafasi lakini huu upondaji haukubaliki kabisa
Gallagher anapenda short passes na acuracy yake kwenye kila mechi fairly ni karibu na 90-95%
Mfutailie na mhukumu, msije mkamhuklumu wakati hata hamfuatilii
Mifano iko nyingi na stats zake zipo. acheni huo unyanyapaa sio mzuri

Mkuu tukubali tu Galagher akiwa na mpira hana maajabu na hiyo ndio weakness yake
Tujaribu kuangalia hilo uone anapokuwa na mali mguuni

Galagher akiwa hana mpira hapo ndio ubora wake ulipo na ndio anachopendewa hivho + shooting
 
Wewe unamzungumzia Gallagher wa zamani but Gallagher wa sasa amiprove sana kwenye pass nenda kaangalie accurate yake ya pass
 
Kwa mfumo wa Pochettino anamuona Gallagher ni mzuri kwa sababu kwenye short passes Gallagher kwa sasa ndie anayeongoza pale Chelsea kwa acuracy ya 90-95%
Pochettino kashasema anataka kujenga timu kwenye msingi wa Gallagher, Palmer, James, Chilwell na anamuona kama ni mchezaji anayefundishika tofauti na hao wengine. Kama nilivyosema mwanzoni akipatikana mzuri zaidi yake sawa ila kama atauzwa halafu tunarudi kuwa na mtu asiyeweza kuyafanya anayofanya Gallagher itakuwa majuto

Board wanataka kumlazimisha Kocha aijenge timu chini ya Caicedo kwenye hiyo nafasi ya B2B ya Gallagher na mashabiki wengi wanaompenda Gallagher wanakubali kama mpango ndio huo auzwe Gallagher ili atoe nafasi kwa Caicedo

Enzo (Regista) ------------------------Caicedo (B2B)

--------------Lavia (DM)------------------
 
Sawa Gallagher kaimprove still uongozi wanataka kumuuza why?

1. Wanataka pesa kubalance vitabu?

2. Uwezo wake mdogo?
Hawa home grown wanauzwa kwa ajili ya kukwepa FFP na Gallagher ndie mwenye bei nzuri
  1. Maatsen alitakiwa auzwe tangu msimu uliopita akakataa jap[o kocha naye hamkubali
  2. Chalobah naye hivyo hivyo - kocha hamkubali
  3. Conor Gallagher ndipo penye kivumbi kwa sababu uongozi unataka kumuuza na kocha hataki na mchezaji naye hataki. Conor Gallagher kashsema anataka kubaki kupigania nafasi yake na kocha anamuunga mkono. Kwa upande wa uongozi wanamuona Galagher ndiye pekee anayeweza kuleta noti ngingi za kubalance vitabu
  4. Mwingine atakayeuzwa ni Broja na nadhani maamuzi yameshapitishwa akikosa soko atatolewa mkopo kwanza
 
Kwa sababu THE BLUES imekuwa middle team like westham, Crystal palace ndio maana mnamona Gallagher ameiprove.

Hii THE BLUES ya sasa hata ukiwarudisha wakina Loftus Cheek, Odoi, Zakaria wataonekana wakali balaa.
Kumbuka yupo Caicedo, Enzo, Lavia na bado Gallagher anacheza zaidi yao
 
Hawa home grown wanauzwa kwa ajili ya kukwepa FFP na Gallagher ndie mwenye bei nzuri
  1. Maatsen alitakiwa auzwe tangu msimu uliopita akakataa jap[o kocha naye hamkubali
  2. Chalobah naye hivyo hivyo - kocha hamkubali
  3. Conor Gallagher ndipo penye kivumbi kwa sababu uongozi unataka kumuuza na kocha hataki na mchezaji naye hataki. Conor Gallagher kashsema anataka kubaki kupigania nafasi yake na kocha anamuunga mkono. Kwa upande wa uongozi wanamuona Galagher ndiye pekee anayeweza kuleta noti ngingi za kubalance vitabu
  4. Mwingine atakayeuzwa ni Broja na nadhani maamuzi yameshapitishwa akikosa soko atatolewa mkopo kwanza
Upo sahihi, pia kati ya hawa ma defender wawili - mmoja ama wote wanauzwa ama kutolewa mkopo ukizingatia umri wa dingi wetu Thiago Silva unakwenda 39 sasa, anahitajika mrithi thabiti - hawa wawili kocha hawakubali maana combination imegoma.
Axel Disasi na Benoît Badiashile
 
Wewe unamzungumzia Gallagher wa zamani but Gallagher wa sasa amiprove sana kwenye pass nenda kaangalie accurate yake ya pass
Gallagher wa baada ya Crystal Palace alikuwa wa hovyo sana ila huyu Gallagher wa Pochettino ni tofauti kabisa
Weakness yake kubwa tu ni kwenye kufunga japo kwenye kuasist yuko vizuri. Yeye kwa Chelsea ni wa pili ana asists 4 baada ya Palmer mwenye 6
 
Chelsea tunatia aibu, tumeiwakilisha vibaya EPL

1704440096361.png
 
Gallagher wa baada ya Crystal Palace alikuwa wa hovyo sana ila huyu Gallagher wa Pochettino ni tofauti kabisa
Weakness yake kubwa tu ni kwenye kufunga japo kwenye kuasist yuko vizuri. Yeye kwa Chelsea ni wa pili ana asists 4 baada ya Palmer mwenye 6
Hivi yule dogo Alfie Gilchrist anacheza position gani zaidi ni no 2? Central back ya 4 au 5?
 
Wachezaji wanaotafutwa January hii
  1. Striker - anayezungumziwa sana ni Ivan Toney AU Santiago Gimenez
  2. LB - amayezungumziwa sana ni Theo Hernandez wa AC Milan
  3. CB - Jean-Clair Todibo AU Antonio Silva.
 
Haijalishi pasi imetumwaje, striker muuaji anjua cha kufanya tu
Ebu shuhudia pasi ngumu kutoka kwa Mata lakini Ba akafanya maonyesho ambapo mwonaji alikuwa ni Degea

Wafadhili wa training Kit

RASMI: Klabu ya Soka ya Chelsea leo inatangaza ushirikiano mpya na BingX, kampuni inayoongoza kimataifa katika ubadilishanaji wa sarafu za crypto, inaoashiria ubia wa miaka mingi kwa taasisi zote mbili.
Karibu sana BINGX

1704447829109.png

1704447928372.png
 
Ian Maatsen ameutaarifu uongozi wa Chelsea rasmi nia yake ya kutaka kujiunga na DVB
imeripotiwa ameshakubaliana na Borussia Dortmund.
Mazungumzo baina ya vilabu hivyo bado yanaendelea,
Kwa upande wake Chelsea wamedai wanataka mkopo wenye wajibu wa kumnunua kwenye dirisha lijalo la July 2024
Maatsena ana mkataba na Chelsea hadi June 2025
1704448340180.png
 
Hakuna mchezaji Chelsea mwenye juhudi na bidii zaidi ya Gallagher, nitasikitika akiuzwa.

Pia Cucu naye hapaswi kuuzwa, ni kiraka mzuri wa kushoto na kulia.

Wengi wanaowasema vibaya Gallagher na Cucu hawaangalii mpira, wanasubiri mechi iishe watoe comments zao mbovu juu ya hao wachezaji zisizo na reference
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom