Hapo Madueke anauzwa ili iweje
Hapo Madueke anauzwa ili iweje
Wakuu wa Darajani... kwa mbaali kama naiona TOP FOUR vile - mnasemaje wahenga?
Kwenye back line kuna Kenge wawili wanakera sana mistakes zao , wale wafaransa wawili Badiashile na yule kilaza Disasi ,aisee ni as if hawana miguu wala ubongo wale watotoHakuna mchezaji Chelsea mwenye juhudi na bidii zaidi ya Gallagher, nitasikitika akiuzwa.
Pia Cucu naye hapaswi kuuzwa, ni kiraka mzuri wa kushoto na kulia.
Wengi wanaowasema vibaya Gallagher na Cucu hawaangalii mpira, wanasubiri mechi iishe watoe comments zao mbovu juu ya hao wachezaji zisizo na reference
Mfumo wa Pochettino ndio unaowafanya waonekane hivyoKwenye back line kuna Kenge wawili wanakera sana mistakes zao , wale wafaransa wawili Badiashile na yule kilaza Disasi ,aisee ni as if hawana miguu wala ubongo wale watoto
Wewe unamzungumzia Gallagher wa zamani but Gallagher wa sasa amiprove sana kwenye pass nenda kaangalie accurate yake ya pass
Kwa mfumo wa Pochettino anamuona Gallagher ni mzuri kwa sababu kwenye short passes Gallagher kwa sasa ndie anayeongoza pale Chelsea kwa acuracy ya 90-95%
Pochettino kashasema anataka kujenga timu kwenye msingi wa Gallagher, Palmer, James, Chilwell na anamuona kama ni mchezaji anayefundishika tofauti na hao wengine. Kama nilivyosema mwanzoni akipatikana mzuri zaidi yake sawa ila kama atauzwa halafu tunarudi kuwa na mtu asiyeweza kuyafanya anayofanya Gallagher itakuwa majuto
Board wanataka kumlazimisha Kocha aijenge timu chini ya Caicedo kwenye hiyo nafasi ya B2B ya Gallagher na mashabiki wengi wanaompenda Gallagher wanakubali kama mpango ndio huo auzwe Gallagher ili atoe nafasi kwa Caicedo
Enzo (Regista) ------------------------Caicedo (B2B)
--------------Lavia (DM)------------------
Hawa home grown wanauzwa kwa ajili ya kukwepa FFP na Gallagher ndie mwenye bei nzuri
- Maatsen alitakiwa auzwe tangu msimu uliopita akakataa jap[o kocha naye hamkubali
- Chalobah naye hivyo hivyo - kocha hamkubali
- Conor Gallagher ndipo penye kivumbi kwa sababu uongozi unataka kumuuza na kocha hataki na mchezaji naye hataki. Conor Gallagher kashsema anataka kubaki kupigania nafasi yake na kocha anamuunga mkono. Kwa upande wa uongozi wanamuona Galagher ndiye pekee anayeweza kuleta noti ngingi za kubalance vitabu
- Mwingine atakayeuzwa ni Broja na nadhani maamuzi yameshapitishwa akikosa soko atatolewa mkopo kwanza
Kumbuka yupo Caicedo, Enzo, Lavia na bado Gallagher anacheza zaidi yao
Wakuu wa Darajani... kwa mbaali kama naiona TOP FOUR vile - mnasemaje wahenga?
Haijalishi pasi imetumwaje, striker muuaji anjua cha kufanya tu
Ebu shuhudia pasi ngumu kutoka kwa Mata lakini Ba akafanya maonyesho ambapo mwonaji alikuwa ni Degea
View attachment 2862426



Naitwa Romeo Lavia nimeajiriwa Chelsea kuja kula mshahara bure, mshahara wa bure ni mtamu nyamnyam.View attachment 2862556




Colwill nae hafai kucheza kama left back ,yule ni kuchomesha tu
Ana share take ya kuchomesha magoli msimu huu akicheza kama left back
Yaani Christiansen au Court zouma ni better center backs kuliko hawa wafaransa wawili aisee ,tukeyatimba
Halafu tuna tatizo la kufingwa magoli ya mipira ya juu ,ile mechi ya Luton ndio ilituexpose vizuri , na sijui Pochetino anafanya nini kusolve hili tatizo sugu.
Tatizo mnaamini kw kuwa wazungu wameshaandika accurate pass70%, hamuangalii hizo accurate pass zimesaidia nini, anapiga pass nyingi salama, hajui kupga pasi za kujilipua.Wewe unamzungumzia Gallagher wa zamani but Gallagher wa sasa amiprove sana kwenye pass nenda kaangalie accurate yake ya pass
Binadamu hubadilika, akiwa chini ya kocha mwenye kujua football Gallagher anaweza kufanya hivyoSiku galagher akipiga hivi itakuwa mwisho wa dunia![]()
Gilmour anafanya vizuri kwa sababu ya Dizerbi, akija kwa Pochettino atarudi kupiga basic passes. Ndio kocha anawaelekeza hivyo.Tatizo mnaamini kw kuwa wazungu wameshaandika accurate pass70%, hamuangalii hizo accurate pass zimesaidia nini, anapiga pass nyingi salama, hajui kupga pasi za kujilipua.
Tatizo jingine mnaangalia tu mechi za chelsea, angalieni na mechi nyingine za huko duniani watu wanavyopga pass kwnye msitu wa watu, sio Ghallager Accurate pass 70% kapasia beki, na mnamsifia.
Usiende mbali angalia tu hapo brighton kijana wetu Gilmor anavyopga pass za uthubutu, bora Accurate pass upate 30% lakini za uthubutu, ila sio 70% za kuwapasia mabeki wa nyuma na wapembeni.
Chelsea kweli tumekua team ya kawida yaani mpk Ghallager tunaona bonge la mchezaji dah!
Fala Sana huyu Poch ,sidhani kama kuna achievement ya Maana tutapata na huyu mpuuziNishasema hili la mipira ya juu Kila game lazima turuhusu goal la mipira ya juu either free header au player kabakia peke yake
Na kocha limekaa tu pale
Hata Caicedo nae hapgi tena pasi za maana, cjui kapatwa na nini yule jamaa.Gilmour anafanya vizuri kwa sababu ya Dizerbi, akija kwa Pochettino atarudi kupiga basic passes. Ndio kocha anawaelekeza hivyo.
Zile pasi za Enzo zimezimika baada ya Pochettino kuja. Hawa wachezaji tusiwahukumu sana wakati huu, tusubiri Msimu ujao labda huyu mwehu akiendelea kuboronga atafukuzwa
Kuna mchezaji wa kubadilika ila sio Ghallager, yule sio talented ni mchezaji wa kujifunza darasani. Manguvu mengi akili kidogo.Binadamu hubadilika, akiwa chini ya kocha mwenye kujua football Gallagher anaweza kufanya hivyo