Mjusi_kafir
JF-Expert Member
- Dec 4, 2023
- 296
- 513
Vipi ndugu zanguni Enzo kaishika game leo au ndo yale yale toka aje Chelsea ni kama Sawadogo tu.
Hawa wamiliki ni mandazi, kuna vitu Naglesman aliviona akahoji na kutoa maoni yake ambayo ni kinzani na ya wamiliki akaachwa ndipo wakamuendea Pochettino mr. ndio kwa akina Boehly. Yaani hawa wamiliki wanamtaka kocha full kenge na puppet wa kumuamrisha tu.Staki kuamini kama tulikaa almost miez 3 tukitafuta kocha tukawaacha Naglesman etc tukaja kumuona Pochetino
Mabeki ni mdebwedo Mtu anaruka free header afu beki anamshika shati au anamkumbatia kwa chini, nawakumbuka sana akina Terry, Ivanovich na Canavaro walivyokuwa wakatili kutocheka na kima kwenye penalty box.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app

Silva umri umekwenda hapaswi kucheza kila mechi ,fikiria kuna mabeki wa kati WATATU walio fit kabisa wenye umri mdogo Colwill,Badiashile na Disasi bado kwenye mechi za wolves unampanga silva na kulazimisha Colwill acheze pembeni,Mara Disasi beki wa kulia huu ni kuihujumu team kabisa.Disasi alifanya makosa
Badiashile tena kafanya makosa
Silva tena alifanya makosa
Lesley alifanya makosa
Broja alifanya makosa
Jackson anaendelea kufanya makosa makubwa sana
Sterling anaendelea kufanya makosa
Unapokuwa na makosa mengi, si kuhusu mchezaji mmoja tu, ni kuhusu stimu nzima!
Hapo bado tunasema tunaye kocha kweli?
Hadi sasa pesa za kuuzwa kihuni Chelsea na serikali ya England ,serikali haijui ipeleke wapi maana wamemdhulumu baba wa watu bila sababu.Rudusheni hela za watu tu mrusi mtu hatari sana.
Hawa laana inawatafuna,, pesa nyingi sana aliwekeza pale yule mrusiHadi sasa pesa za kuuzwa kihuni Chelsea na serikali ya England ,serikali haijui ipeleke wapi maana wamemdhulumu baba wa watu bila sababu.
Huyu hata msimbazi hapati number.. hamna kitu mule. anajigonga gonga miguu tu. Hata Ulaya kuna dili aisee, huyu ndiye mchezaji wa 39 thousand dollars kweli ?Ukiona tunakosa points, Chelsea tuliyonayo kwa sasa ndio hii
Yaani huyu kwa zile mechi 9 tu alizovuma Vilareal tukamsajili kweli!
View attachment 2842249
Sasa mpaka kutuliza mpira nayo tumpe muda? Chezaji linakosa basic football knowledge hata ya ball controlLabda hatumtendei haki Nicolas Jackson, Drogba alikuja EPL mwaka wa 2004 akiwa na miaka 26 na kufunga mabao 10 pamoja na asists 5 ndani ya mechi 26 na makosa mengi sana njiani. Kitu kizuri kwake alikuja kwenye timu iliyokomaa sana. Tumpe Jackson muda, atakuja kuwa mzuri sana
Labda hatumtendei haki Nicolas Jackson, Drogba alikuja EPL mwaka wa 2004 akiwa na miaka 26 na kufunga mabao 10 pamoja na asists 5 ndani ya mechi 26 na makosa mengi sana njiani. Kitu kizuri kwake alikuja kwenye timu iliyokomaa sana. Tumpe Jackson muda, atakuja kuwa mzuri sana
Drogba alikuwa na stats mbovu mwsimu wake wa kwanza Chelsea na alikuwa na umri mkubwa kuliko jackson. Pia tukumbuke kuwa Jackson alikuwa anafanya vizuri Laliga na pia tuklumbuke Enzo alifanya vizuri na Potter, Caicedo alifanya vizuri na Di Zerbi. Hawa wachezaji wote viwango vyao vimeporomokaTuache kumcompare huyu pimbi na Drogba
Huyu jamaa ukiangalia game za mwanzo alikuwa vizuri kweli basic zote alikuwa anafanya sahihi idk kipi kimemkumba kila mchezaji anaregress now hakuna mchezaj atakaeimprove chini ya Poch hakuna kila mchezaj ataonekana ni takataka mpk hapo Poch atakapoondoka
Drogba alikuwa na stats mbovu mwsimu wake wa kwanza Chelsea na alikuwa na umri mkubwa kuliko jackson. Pia tukumbuke kuwa Jackson alikuwa anafanya vizuri Laliga na pia tuklumbuke Enzo alifanya vizuri na Potter, Caicedo alifanya vizuri na Di Zerbi. Hawa wachezaji wote viwango vyao vimeporomoka
Mimi nadhani hata Jakcson ni mhanga wa ufundishaji wa Pochettino na hasa point yangu ililenga hapo
Wachezaji huwa wanatumia maelekezo ya kocha kwa asilimia kubwa na pale maelekezo yasipoelewekwa ndipo tunaishia kuona vioja kama hivi vya wachezaji wa Chelsea
Tukumbuke pia wakati wa Lampard Rudiger alikuwa na makossa mengi sana na hadi uongozi ulianza kufanya mpango wa kumuuza ndipo alipokuja TT na kumfanya kuwa CB ambaye hata klaby kama Real Madrid wakamuona
Wakati wa TT Chalobah alikuwa ni CB mzuri sana, sasa yuko wapi, tutamuuza hata kwa $ mil 10
Jakcson ni victim wa ufundishaji mbaya wa Pochettino