juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,952
- 5,438
Drogba alikuta mfumo mzuri sana wa akina
na bado hakucheza vizuri sana alikuwa na uchezaji mbovu kama huu huu wa Jackson kwenye miguu. Kwenye mpira wa vichwa tu ndio alikuwa mzuri. Lakini kwe nye misimu iliyofuata Drogba alibadilika na kuwa moto wa kuotea mbali
- Cech,
- Carvalho,
- Terry,
- Gallas,
- Makelele,
- Lampard,
- Geremi,
- Joe Cole na wengineo
akifunga mabao 10 na assists 5 katika mechi 26 alizocheza. Kumbuka kwamba alikuwa mzee kuliko Jackson na chini ya kocha mzuri sana.
Tumpe Jackson muda
Ambaye nina wasiwasi wa kumpa muda ni Pochettino tu
Ila stil alifunga magoal muhim
Magoal anayofunga jackson niyale tap in hakuna goal ambalo utasema hapa amekurupushana na mabeki