Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kama lembu alivyosema tofauti ya Roman Abromovich na Toddy ni katika kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi.

Roman alikuwa analeta makocha sahihi kwa wakati sahihi, Toddy analeta makocha sio sahihi kwa wakati huu wa kujenga timu kurudi kwenye njia yake ya mafanikio.

Wamiliki wanaona aibu yani wanaogopa kufanya maamuzi kwa sababu wataonekana kama maclown vile you can not spend 3month unamtafuta mwalim halaf uangukie kwa poch ni upumbavu wa hali ya juu

Abramovich hakuwa na maswala ya interview sijui nini akimtaka kocha ni chap anampata au kocha akatae kama mwenyewe haya maswala sijui uwaweke kwenye mchujo uwafanyie interview ni upumbav kwa makocha wanaojielewa huwez wafanya hivyo.
 
Mpaka tajiri anapigia simu kocha kumuhitaji ina maana managament walishafanya analysis mbalimbali wakajitosheleza.

Na kazi ya ukocha haifanyiki chumbani

Kocha akatae kazi kwa sababu ya masharti ya mkataba au mazingira flani ya timu.

THE BLUES tunao uongozi wa ovyo sana. UNATUGHARIMU SANA
 
Hapana, uliniquote vibaya, kocha niliyempenda mimi na siku zote ni Antonio Conte, Fuatilia maandishi yangu yote. Poche kama nilimpenda ni kwa sababu tu Conte ilishindikana. Kocha mwingine ambaye nilimponda waziwazi na bado namponda ni Luis Enrique, nilisema huyo Barcelona alikuta kila kitu kiko kwenye order akatembelea upepo tu

Halafu usinilazimishe kuwa nilimtetea Poche mbele ya Conte, labda kama ni Luis sawa ila Conte ndie kipenzi changu siwezi hata siku moja kumuweka Pochettino mbele ya Conte
Unajitetea tu ila ushahidi ushaambatanishwa kwenye maelezo yake Cash money forever, sema tu sababu huwa unajiheshimu huwa una matusi kama Mashabiki wa Arsepimbi, Mwantesa UTD ngoja nikustahi tu Chifu.
 
Mkuu Interlacustrine R ulimkataa Poche since day 1. Unapendekeza kocha gani aje kutuvusha nyakati hizi ngumu?

Binafsi nangetamani aje kocha angalau mwenye historia ya kubeba makombe, anayefahamu njia (Kimbinu, Kifalsafa) za kubeba makombe na sio kuja kujenga timu ya kupambania kumaliza Top 4
Kocha mwenye kaliba ya kukuza uwezo wa Wachezaji wadogo kimpira ni J. Klopp & Ten Hag ingawa Klopp ana changamoto ya kutowekewa pesa za kutosha kiusajili lakini unaona kabisa jinsi anavyopambana na Vijana wa kawaida sana na kufanya vizuri EPL.

Ten Hag ana changamoto sawa na J.Klopp ila tofauti yake yeye ana Wazee wengi sana pale Mwantesa UTD.

Conte & Mourinho wana uwezo mkubwa sana wa kuja kuweka rekodi zao vyema za kubeba ubingwa ilimradi uongozi utembee tu na philosophy ya The Former Boss of Chelsea SC "Abrahamovich".

"Spalletti" The former big Coach of Napoli FC 2021-2023 anaweza kuleta ubora wa Chelsea SC kwa kukuza vipaji vya Wachezaji maana historia inaonesha Makocha wengi wanaotokeaga Italy Serie A huwa wanafanya vizuri wakija kufundisha EPL UK.

Wachezaji wadogo wa Chelsea wanakosa uzoefu, nidhamu na jinsi ya kuwa makini kila sekunde uwanjani sababu ya Kocha Mdogo kiufundishaji "Pochettino".

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
THE BLUES tunao wakati mgumu sana, kwa maana kukosekana maamuzi sahihi kutoka kwa maboss wetu. Anaweza kuondoka Poche tukaletewa kituko zaidi.

Potter Lampard Poche
 
Unajitetea tu ila ushahidi ushaambatanishwa kwenye maelezo yake Cash money forever, sema tu sababu huwa unajiheshimu huwa una matusi kama Mashabiki wa Arsepimbi, Mwantesa UTD ngoja nikustahi tu Chifu.
Huo ushahidi wa kulist makocha, wapi nilisema Pochettinoi ndie Kocha sahihi. Maandishi yangu ya nyuma sikuwahi kumkubali Pochettino against Conte ndio hoja yangu ya msingi. Hata hiyo list niliweka mkazo kwa Conte sio Pochettino
 
Kocha mwenye kaliba ya kukuza uwezo wa Wachezaji wadogo kimpira ni J. Klopp & Ten Hag ingawa Klopp ana changamoto ya kutowekewa pesa za kutosha kiusajili lakini unaona kabisa jinsi anavyopambana na Vijana wa kawaida sana na kufanya vizuri EPL.

Ten Hag ana changamoto sawa na J.Klopp ila tofauti yake yeye ana Wazee wengi sana pale Mwantesa UTD.

Conte & Mourinho wana uwezo mkubwa sana wa kuja kuweka rekodi zao vyema za kubeba ubingwa ilimradi uongozi utembee tu na philosophy ya The Former Boss of Chelsea SC "Abrahamovich".

"Spalletti" The former big Coach of Napoli FC 2021-2023 anaweza kuleta ubora wa Chelsea SC kwa kukuza vipaji vya Wachezaji maana historia inaonesha Makocha wengi wanaotokeaga Italy Serie A huwa wanafanya vizuri wakija kufundisha EPL UK.

Wachezaji wadogo wa Chelsea wanakosa uzoefu, nidhamu na jinsi ya kuwa makini kila sekunde uwanjani sababu ya Kocha Mdogo kiufundishaji "Pochettino".

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kwa makocha wanaopatikana angechukuliwa Conte tu
 
There are suggestions Todd Boehly and Behdad Eghbali might not completely share the same vision for Chelsea’s future, and with heavy spending and a failed off-piste accounting policy yet to deliver success, a forthcoming power struggle is not an impossibility.

[@guardian_sport]
View attachment 2854885
Waache wagombane, hasa Boehly yule hafai kabisa, ni typical American parody
 
Luciano Spalletti ni Head Coach of Italian National Team hivi sasa.

Chelsea SC wakiweza wamuajiri awe anafundisha timu 2 kwa wakati mmoja kama ilivyokuwa kwa Conte zama za Bosi Abrahamovich.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app

Conte aliachana na Italy then ndio akaja chelsea

Kocha pekee aliyekuwa anafundisha National team na Chelsea alikuwa wa mda mfupi ni Gus Hiddink
 
Hata kama siipendi hii line-up ila nabashiri Pochettino atakuja leo kihivi
Formation 4-2-3-1

------------------Jackson-----------------------

Mudryk -----------Nkunku ---------------Madueke

--------Caicedo ---------------Gallagher---------

Colwill --------- Silva --------Disasi ---------Gusto

---------------------Petrovic--------------------
 
Mpigwe 3 tena mpoteane mazima
 
Wolves au Brentford akishinda leo Chelsea akafungwa tunatinga kwenye nafasi yetu pendwa ya 12
 
THE BLUES tunao wakati mgumu sana, kwa maana kukosekana maamuzi sahihi kutoka kwa maboss wetu. Anaweza kuondoka Poche tukaletewa kituko zaidi.

Potter Lampard Poche

Tuchel alipoteza game 4 tu tena mashindano yote huku kwenye league akiwa amezidiwa point 5 tu na aliyekuwa anaongoza.

Kuna makocha hapo washapoteza Zaidi hata ya game alizopoteza Tuchel
 
Confirmation

line-up ya Pochettino
Formation 4-2-3-1

------------------Jackson-----------------------

Mudryk -----------Nkunku ---------------Maatsen

--------Caicedo ---------------Gallagher---------

Colwill --------- Badiashile --------Disasi ---------Gusto

---------------------Petrovic--------------------

Subs:
  1. Bettinelli
  2. Bergstrom
  3. Thiago Silva
  4. Gilchrist
  5. Lavia
  6. Matos
  7. Castledine
  8. Madueke
  9. Broja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom