juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
BADIASHILE kumpa pass ya kisigino Adui, kuna watu hapa watamlaumu kocha.
[emoji23][emoji23][emoji23] if unahisi shida ni wachezaji
Kipi tumefanya uwanjani hapo ndio watu wanapolalamika
Je kunapattern yoyote ya kiuchezaji??
Why unawatumia wachezaj nje ya nafasi zao ?
Why Game nyingi tunaruhusu magoal ya vichwa huku almost CB zetu ni 6.0+ kwenye urefu