Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mashabiki wenzangu tubadilike kimtazamo, huu sio wakati wa kutimua timua makocha ovyo.

Mambo yamebadilika sana tuna:-

1. Wamiliki/Uongozi mpya:- Ambao wanaendelea kujifunza katika kuendesha timu ya mpira na kufanya maamuzi sahihi ya kiutawala/Kimpira

2. Wachezaji wapya:- Ambao wengi ni wapya na umri mdogo wanaendelea kujifunza na kupata uzoefu wa ligi na pia utamaduni wa timu.

Sawa historia yetu ya kubeba makombe kila msimu inatutafuna, ila kwa sasa tukubaliane na hali halisi ya timu, kwamba ni changa inajengwa upya

Tuupe muda uongozi kutulia na kuendesha timu kwa weledi, tuwape muda makocha na wachezaji wasomane na kuboresha performance ya timu uwanjani.

Timu ikisharudi kwenye njia zake za kushinda makombe hapo ndio tunaweza kutimua timua makocha, tukiamini wachezaji wataendelea kuibeba timu kama ilivyokuwa enzi za Roman.

Poche amalize kwanza msimu huu tumfanyie tathimini ya mafanikio yake, ameitoa timu wapi na ameifikisha wapi

Je atastahili kuendelea kuinoa timu au atupishe

Kwa sasa tuwe watulivu.
Meli inayopewa muda ni ile inayoelekea kutulia, meli inayozama haipewi muda ndugu. Pochettino aonyeshe timu ina improve na sio kudidimia. Hakuna shabiki wa Chelsea anayetaka makubwa kipindi hiki cha mpito.
Achezeshe wachezaji kwenye nafasi zao
Aache kuwakomoa wachezaji wengine bila sababu za msingi
 
Huyu wangeuza tu kw hela za kitanzania ili auzike fasta. Mchezaji wa hovyo.
Conor Gallagher ndiye atakuwa mchezaji wa Chelsea bora wa msimu. Mna dhambi nyingi sana ninyi ambao hamuoni kazi anayofanya Gallagher

GALLAGHER NOT FOR SALE
Chelsea will block any advances from Tottenham for 23-year-old midfielder Conor Gallagher in the January transfer window, despite uncertainty over his contract situation.

Huyu ndie Kapteni wa halali Chelsea
Hasinzii, hachoki, haendi majeruhi, hana maneno maneno, hana kashfa, haugui, ana bidii mazoezini, anan nidhamu ya kutosha. Mungu atupe nini tena?

Kama kuna timun inamtaka Gallagher walete Pauni mil 150, chini ya hapo hauzwi mtu hapa
1703261431381.png

View: https://twitter.com/i/status/1737148437294915912
 
Conor Gallagher vs Newcastle
-91 pass accuracy
-115 accurate passes
-142 touches
-5/5 accurate long balls
-14 passes in final 3rd
-2/3 dribbles
-100% tackle rate
-8 recoveries
-3 Interceptions
-6/12 ground duels
-3/3 aerials
-4x Fouled
MOTM

Huyu angekuwa anachezea Brighton tungemnunua kwa mil 100+

1703245989613.png
 
Squawka Score Wamem rank Gallagher CM wa pili kwa ubora mbele ya Rodri hata akina Declan Rice, Bissouma, Onana hawaoni ndani kwake.

  1. Rodri -78%
  2. Conor Gallagher - 71%
  3. Declan Rice - 69%
  4. Amadou Onana - 69%
  5. Yves Bissouma -68%
-------------------------------------------------------------
Club: Chelsea

Squawka Score: 71%

The Chelsea rebuild under Mauricio Pochettino has hit several stumbling blocks but one man who has kept his head held high is Conor Gallagher. Thrust into a leadership role, the academy product has given Chelsea legs, power and composure through the middle, excelling in almost every aspect you’d want from a central midfielder.

Gareth Southgate will be thinking hard about Gallagher’s place in his plans ahead of Euro 2024.
1703246337176.png

Mbona FA na Community shield ndio makombe yenu kabla hata ya Arteta!!!, umesahau na Emirate Cup pia ndio mafanikio yenu makubwa.
Arteta kw hiyo miaka minne hakuna alichokifanya, na hakuna atakachokifanya ni failure. sema tu nyie mashabiki wa Arsenal mna matatizo yenu binafsi huwa hamuonagi.
Kwhyo kama ni makombe yetu ulitaka asiyashinde au🤠🤠🤠....mbona mna hoja za kitoto sana ndugu zetu....Wenger alitupa makombe ya EPL mara 2 sijui mara tatu then baada ya hapo timu ikashuka kabisa na kupoteana...ameondoka kaja Emery matatizo ndo yakawa makubwa zaidi Sasa amekuja dogo Arteta kwny kibarua chake cha kwanza pale na amefanya kazi nzuri mpk Sasa timu imefika pale ilipo bdo mnatupiga mikwara....nimesema hapa nakukuonesha vilabu alivyozurura kocha wenu na alichokivuna ndo maana nikasema usimfananishe hyo muhuni wenu na super tactician Arteta....nyny mmezoea kutumia mihela mingi kupata mafanikio Sasa jamaa anataka mumpe muda nyny mnalalama tu...mmemkusanyia wauza juice wengi mnataka hapohapo wa click haiwezekani....mpeni msela nafasi sio kuleta ujanjaujanja...mtatimua makocha wangapi
 
Nyie ndo mnataka kuuza pressing machine kwa Big Ange..

Basi niseme mnajiandaa kufanya kubwa sanaaa!
 
Katika mechi saba zilizopita, Man U kashinda mechi moja tu
Unajua kashinda dhidi ya timu gani?
 
Squawka Score Wamem rank Gallagher CM wa pili kwa ubora mbele ya Rodri hata akina Declan Rice, Bissouma, Onana hawaoni ndani kwake.

  1. Rodri -78%
  2. Conor Gallagher - 71%
  3. Declan Rice - 69%
  4. Amadou Onana - 69%
  5. Yves Bissouma -68%
-------------------------------------------------------------
Club: Chelsea

Squawka Score: 71%

The Chelsea rebuild under Mauricio Pochettino has hit several stumbling blocks but one man who has kept his head held high is Conor Gallagher. Thrust into a leadership role, the academy product has given Chelsea legs, power and composure through the middle, excelling in almost every aspect you’d want from a central midfielder.

Gareth Southgate will be thinking hard about Gallagher’s place in his plans ahead of Euro 2024.
View attachment 2849811
Hivi ni lazima kila wanachoandika hao wazungu mkifuate? Mpira si tunaangalia wote? Kwa hiyo ww unaona ni kweli Gallagar ni bora kuliko Rice?
 
Kwhyo kama ni makombe yetu ulitaka asiyashinde au🤠🤠🤠....mbona mna hoja za kitoto sana ndugu zetu....Wenger alitupa makombe ya EPL mara 2 sijui mara tatu then baada ya hapo timu ikashuka kabisa na kupoteana...ameondoka kaja Emery matatizo ndo yakawa makubwa zaidi Sasa amekuja dogo Arteta kwny kibarua chake cha kwanza pale na amefanya kazi nzuri mpk Sasa timu imefika pale ilipo bdo mnatupiga mikwara....nimesema hapa nakukuonesha vilabu alivyozurura kocha wenu na alichokivuna ndo maana nikasema usimfananishe hyo muhuni wenu na super tactician Arteta....nyny mmezoea kutumia mihela mingi kupata mafanikio Sasa jamaa anataka mumpe muda nyny mnalalama tu...mmemkusanyia wauza juice wengi mnataka hapohapo wa click haiwezekani....mpeni msela nafasi sio kuleta ujanjaujanja...mtatimua makocha wangapi
Mbona nyie hamkumvumilia Emiry, na ni kocha mzur kuliko huyo kilaza Arteta, miaka minne bado anazurura tu bila kombe la maana..
Arteta sio kocha ni tapeli.
 
Nyie ndo mnataka kuuza pressing machine kwa Big Ange..

Basi niseme mnajiandaa kufanya kubwa sanaaa!
pressing machine au mchezaji asiekua na akili ya mpira. Kapewa energy na nguvu ya kupambana akanyimwa akili y mpira. Mungu akupi vyote.
 
Mbona nyie hamkumvumilia Emiry, na ni kocha mzur kuliko huyo kilaza Arteta, miaka minne bado anazurura tu bila kombe la maana..
Arteta sio kocha ni tapeli.
Very simple🤠🤠...Bora utufunge lakini tuone style ya uchezaji na bolu litembee hapo tutakupa mda....Emery alikuwa ni kama hyu Pochinene wenu mikwara miiingii lakini hauleweki mpira unaonchezwa....tukamtoa mkuku....Sasa nyny kwakuwa ni wazee wa kukurupuka na kununua mchezaji yyte bila mahitaji ya kocha ndo maana nasema mpeni mda kocha...mmemnunulia wauza koni wengi acha awafundishe namna ya kucheza...matokeo yatakuja
 
Leo tuna Wolves , Poch inabidi aje na mbinu za kueleweka la sivyo kuna harufu ya aibu leo
 
Ile timu iliyojaa Wareno sio ya kuidharau kabisa
Poch akiendeleza uzezeta wake ule ,hatuchomoki leo , na ukiangalia hii ni must win game
Yaani inabidi leo tushinde ili kujiwekea atleast mahali salama zaidi
 
Must win game ndo kitu gani🤠🤠🤠...mjitahidi hata draw mpate...mlikuwa mnasema Mkukumkuku hwyupo....haya Sasa amerudi..tafadhali nawabetia...msiwe makubwa jinga ya wiki kama Manunu
 
Must win game ndo kitu gani...mjitahidi hata draw mpate...mlikuwa mnasema Mkukumkuku hwyupo....haya Sasa amerudi..tafadhali nawabetia...msiwe makubwa jinga ya wiki kama Manunu
Hiyo pesa kagawie wahitaji sio kuwaamini hawa vibwengo. Hawa mbweha wakiamua kupark bus Michael Jackson hana la kufanya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom