Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hakuna nafasi ya B2B Boss, Hizi ni sifa za Mchezaji husika zinazomfanya kupewa Jina hilo kwa kuwa tofauti na wachezaji wengine kwenye nafasi hiyo.

LAMPARD ni Kiungo wa Kati CM na Moja ya Viungo bora kuwahi tokea kama Box to Box, Sifa za B2B ni Stamina, Physical Strength, Pressing Ability, Passing Range na Speed ya Maamuzi Pande zote za Uwanja. Mara nyingi amecheza kwenye Double Pivot.

Majukumu ya Ulinzi si lazima kufanya uliyoorodhesha hapo juu. LAMPARD alikuwa Mnyama haswa kwenye Ku-press na Positioning. Tackling ilikuwa udhaifu wake lakini kuzuia si lazima ufanye tackling kuna kina Busquets na Carrick wamecheza DM kwa ufanisi bila kuwa na namba nzuri kama "Tacklers" Ila LAMPARD Pia alikuwa na % kubwa ya Mafanikio ya Tackles chache alozifanya.

Kifupi Lampard ni CM mwenye sifa zote za Kuitwa Box to Box na anatambulika kama Moja ya B2B bora zaidi wahi tokea katika Soka.
Noted 🙏
 
Carabao Cup semi-final draw recap - Chelsea to face Middlesbrough, Liverpool vs Fulham​

1703161310695.png
 
Colepalmer akimuelekeza Petrovic aruke upande gani ili kupangua penalty iliyotupeleka semi final ya Carabao cup
1703161639571.png
 
Punguza ujuwaji wa kishamba unataka nijue kila technical issues za mpira mimi ni kocha ?asilimia 25 tu (Basics )inanitosha kunipa awareness ,mengine naendelea kueleweshwa kama mwenye akili alivyo toa maelezo hapa ,hata makocha hawajui kila kitu,unyoandika mashabiki wengi wa Chelsea hawajui,kwa hiyo wa man u,arsenal , Liverpool wanajua tecnical issues.Huu ni USHAMBA .
Pole sana
 
BREAKING:
Reece James to have surgery according to reports.
1703170854368.png
 
Kwa hiyo Arteta tumpe miaka mingapi awe ameshanyanyua jambo la maana? Mana kwa miaka aliyokaa alishatakiwa kuwa ameshafanya jambo, ila naona kila msimu anawadanganya danganya tu mnatoka mikono mitupu.

Hivi Xabi Alonso ile Bayern Leverkusen ni kibarua cha ngapi kwake?
Xavi amechukua Nini Cha maana mpka sasa
 
Usimfananishe Arteta na vitu vya ajabuajabu....Klopp ilimchukua miaka minne kufanya hiki anachokifanya Liverpool ingawa alitoka Dortmund akiwa amefanya jambo....pili Arteta ile kazi ya Arsenal ndo ya kwanza kwake kama kocha mkuu wakati Pochinene ameshazunguka klabu za kutosha....kwhyo pambaneni mfanye vile anavyotaka yy sio mnavyotaka nyny waungwana🤠🤠🤠
Kwa hiyo Arteta tumpe miaka mingapi awe ameshafanya jambo la maana? Mana kwa miaka aliyokaa alishatakiwa kuwa ameshafanya jambo, ila naona kila msimu anawadanganya danganya tu mnatoka mikono mitupu.

Hivi Xabi Alonso ile Bayern Leverkusen ni kibarua cha ngapi kwake?
 
Pochetino ni akili ndogo yule ,yaani hii Chelsea inatia kero sana , ushindi wa papatu ,uchezaji mbovu ,soka halivutii , patern ya uchezaji hamna
Aisee ,Chelsea is dead and gone
Limebaki jina tu
 
Tumeingia semi final carabao lakini hii timu ni mbovu mno
Nachagua Arteta over stupid & dumb Pochetino any day , any time
Ni mwehu ndio anaweza linganisha brainy Arteta na huyo mwehu Poch
 
kwani Arteta kafanya jambo gani la maana mpk sasa, mwaka wa 6 huu?
Unaishi Dunia gani mkuu...mwaka wa sita upi huo🤠🤠...huu ni mwaka wa nne sasa na tyri ana FA cup moja na Community shield mara mbili kabeba....sasa tunaenda kulisaka taji la ligi kuu....Pochinene alipokuwa Spurs mafanikio yake ni kucheza final UEFA na akabutuliwa na Liverkuku....kwhyo kumfananisha Arteta na hyo muhuni wenu uache kabisa
 
Unaishi Dunia gani mkuu...mwaka wa sita upi huo...huu ni mwaka wa nne sasa na tyri ana FA cup moja na Community shield mara mbili kabeba....sasa tunaenda kulisaka taji la ligi kuu....Pochinene alipokuwa Spurs mafanikio yake ni kucheza final UEFA na akabutuliwa na Liverkuku....kwhyo kumfananisha Arteta na hyo muhuni wenu uache kabisa
Nyie ni fungu la kukosa kama huamini subiri may hapo
 
Hakuna nafasi ya B2B Boss, Hizi ni sifa za Mchezaji husika zinazomfanya kupewa Jina hilo kwa kuwa tofauti na wachezaji wengine kwenye nafasi hiyo.

LAMPARD ni Kiungo wa Kati CM na Moja ya Viungo bora kuwahi tokea kama Box to Box, Sifa za B2B ni Stamina, Physical Strength, Pressing Ability, Passing Range na Speed ya Maamuzi Pande zote za Uwanja. Mara nyingi amecheza kwenye Double Pivot.

Majukumu ya Ulinzi si lazima kufanya uliyoorodhesha hapo juu. LAMPARD alikuwa Mnyama haswa kwenye Ku-press na Positioning. Tackling ilikuwa udhaifu wake lakini kuzuia si lazima ufanye tackling kuna kina Busquets na Carrick wamecheza DM kwa ufanisi bila kuwa na namba nzuri kama "Tacklers" Ila LAMPARD Pia alikuwa na % kubwa ya Mafanikio ya Tackles chache alozifanya.

Kifupi Lampard ni CM mwenye sifa zote za Kuitwa Box to Box na anatambulika kama Moja ya B2B bora zaidi wahi tokea katika Soka.
Sifa ya kwanza ya box to box awe na uwezo wa kucheza kokote kwenye uwanja, awe na uwezo wa kusaidia mashabulizi na kuzaidia kukaba,
kuna roles na position, nafasi nyingi za uchezaji uwanjani ambazo sisi tunaziita nafasi inafact ni roles na sio nafasi ikiwemo B2B
Na B2B ya mchezaji huyu haiwezi kufanana na B2B ya mchezaji yule. Kila mchezaji ni unique
Tunaposema Kante na Caicedo wamefana sio kwa sura wala kwa urefu. Hawa ni wachezaji wawili tofauti na wamepitia changamoto tofauti
Wachezaji wanaweza kufananishwa kwa takwimu zinazoendana hata kama hazifanani
Saa nyingine unaweza kuwa rigid wa kumuelewa mwenzako kumbe ni lugha tu zimetofautiana, tunazungumzia kitu kile kile
Changamoto sisi tunazopitia Chelsea ukubwa wake uko kwa kocha na wala sio ugeni wala ukosefu wa uzoefu wa wachezaji kama wengine wanavyosema
Tangu Pochettino aje hajawaelewa wachezaji wake sawasawa na kama anawaelewa basi ni mbishi
Yeye anaona kabisa Enzo alicheza vizuri wakati wa Potter alivyotumika kama Jorgninho kwenye namaba 6 (Regista role), yeye mara ampe namba 8 mara ampe namba 10
Caicedo naye n8i kiungo anayecheza vizuri akipewa uhuru na role pekee inayompa uhuru kiungo mwenye uwezo wa kukaba na kutengeneza mashambulizi ni B2B. Palmer akicheza RW anakuwa huru ila yeye anamlazimisha kwenye namba 10
 
"Ulimwengu wa soka ulijua nilijeruhiwa lakini utaratibu ambao ningefanya wakati huu ulichukua muda mrefu zaidi kupata suluhisho lililo bora zaidi".

"Nimefanyiwa upasuaji leo kujaribu kurekebisha tatizo langu la misuli ya paja lililokuwa linajirudia, mchakato wa kupona umeanza, kimwili na kiakili".

"Tangu jeraha hili nimekuwa na msaada mzuri lakini kikubwa zaidi chuki na uhasama".

"Niamini, sitaki kujeruhiwa. Nina furaha zaidi ninapocheza soka".

"Asante kwa watu wanaonielewa ambao wananiunga mkono licha ya hali yakupanda na kushuka inakwenda mbali sana".

Reece James.

"The footballing world knew I got injured but the procedure I'd go down this time took slightly longer to figure out the best solution".

"I had surgery today to try fix my reoccurring hamstring issue, the recovery has started, both physically and mentally".

"Since this injury I've had a good amount of support but significantly more hate and negativity"."Believe me, I don't wanna be injured. I'm happiest when I'm playing football".

"Thanks to the understanding people that support me despite the highs or lows, it goes a long way".

Reece James.

1703220636031.png
 
Tumeingia semi final carabao lakini hii timu ni mbovu mno
Nachagua Arteta over stupid & dumb Pochetino any day , any time
Ni mwehu ndio anaweza linganisha brainy Arteta na huyo mwehu Poch

Team Sio mbovu bali kocha aliyepo ndio anaifanya hii team ionekane kama gari bovu
 
Ni kama tunafufuka vile, nafikiri hizi homa za vipindi zinaanza kupungua
 
Unaishi Dunia gani mkuu...mwaka wa sita upi huo🤠🤠...huu ni mwaka wa nne sasa na tyri ana FA cup moja na Community shield mara mbili kabeba....sasa tunaenda kulisaka taji la ligi kuu....Pochinene alipokuwa Spurs mafanikio yake ni kucheza final UEFA na akabutuliwa na Liverkuku....kwhyo kumfananisha Arteta na hyo muhuni wenu uache kabisa
Mbona FA na Community shield ndio makombe yenu kabla hata ya Arteta!!!, umesahau na Emirate Cup pia ndio mafanikio yenu makubwa.
Arteta kw hiyo miaka minne hakuna alichokifanya, na hakuna atakachokifanya ni failure. sema tu nyie mashabiki wa Arsenal mna matatizo yenu binafsi huwa hamuonagi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom