lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,694
- 25,910
Yeye ndie jana kacheza vizuri, kaokoa magoli zaidi ya tatu. Wengine wote jana walikuwa maboga yaliyolalauyo kipa ni kimeo acheni kumtetea footwork hana makosa kibao leo baada ya kufungwa akafanya kosa kama lile alilofanya dhidi ya arsenal anampasia mtu wa timu pinzani icho kitu hata onana hawezi fanya