Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea tayari wamewaloga Tottenham Hot Spurs

Tangu Chelsea wawasambaratishe wamekuwa wakigawa point bila kujali ni nani anacheza naye
 
Chelsea tayari wamewaloga Tottenham Hot Spurs

Tangu Chelsea wawasambaratishe wamekuwa wakigawa point bila kujali ni nani anacheza naye

Walikuwa wanabebwa tu tokea mwanzo hawakuwa na lolote ndiyomana baada ya ile scnerio yao na Liverpool marefa wakaacha kuwabeba mpaka leo ushindi anauona kama Mpinzani kushinda Uraisi Afrika.
 
Next stop ni Goodison park pale kichapo huwa ni kawaida so kamati iandae maturubai kabisa
 
Kita walamba
FB_IMG_17020396147385255.jpg
 
Poleni THE BLUES wenzangu kwa kipigo kutoka kwa Manyumbu.

Naendelea kusema kwamba wachezaji wetu ndio chanzo kikuu cha poor performance uwanjani.

Wachezaji wana mapungufu mengi kuliko mapungufu ya kocha.

1. Mapungufu ya kiuwezo uwanjani.
2. Mapungufu ya experience (EPL)

Hata wale wachezaji wachache wenye experience (Silva, James, Sterling), ndio wanaongoza kufanya mistakes uwanjani.

Na hapa mnajipa moyo kwamba washambuliaji wetu Jackson, Madueke, Mudyk wakipata kocha mwingine watakuwa moto balaa .

Kiungo yetu Enzo, Caicedo na Gallagher huwezi kuilinganisha na ile ya kina Kante, Kovacic. Bado sana wana mengi ya kujivunza katika kumiliki dimba la katikati ili mabeki wawe salama.

Tuache ndoto za mchana wazee, tunahitaji kusajili experienced players eneo la ushambuliaji na kiungo angalau wawe msingi wa hayo maeneo.

Nitashangaa sana huko mbeleni wamiliki wakiendelea kusajili wachezaji mbarara badala ya exprienced player's.

For the time being tuendelee kula vipigo hatuna namna, tulishakosea kujenga msingi kwenye usajili.

Ngoja nicheke
Mpe Pep,Don Carlo,Klop,hata Arteta hao wachezaji uone hali
 
Unajichanganya mkuu kwa mambo mawili
Mchanganyo wa kwanza
Unasema hawana experience ndio maana wanacheza fyongo na huku unasema tena hata wale wenye experience kama Silva, Sterling, James nao wanacheza hivyo hivyo
Maoni yangu, maelezo yako inatoa ushahidi kuwa tatizo sio experience ya wachezaji bali uwezo wa kocha

Mchanganyo wa pili
Wachezaji wale wale, walicheza kandanda safi la la kisasa dhidi ya timu kubwa (hadi akina Gari Nevile akatabiri kabla kwamba kwa mchezo ule wa Chelsea Man U atafungwa sana)
  1. Chelsea vs Liverpool safi sana
  2. Chelsea vs Arsenal safi sana
  3. Chelsea vs Man City safi sana
  4. Chelsea vs Spurs, japo hatukucheza vizuri sana ila tuliwabikiri na kuwasambaratisha kimoja hadi leo
Maoni
Kwa scenario hizo mbili hapo juu nasema na anrudia kusema tatizo sio wachezaji
Tatizo liko rooted kwenyte technical ability ya makocha akiwemo Pochettino
Narudia kusema wachezaji kwenye ligi kubwa za ulaya kwa 90% wanacheza kwa kufuata maelekezo ya makocha
Hata zile back passes na kuanzia golini ni maelekezo ya makocha
Sasa wachezaji wanaposhindwa kutekeleza kwa sababu za kitaalamu (Technical reasons) ndio yanatokea kama yalivyotokea uwanjani

Makocha walioshindwa kupeleka ujumbe wao kwa wachezaji
  1. Ten hag
  2. Pochettino
  3. Endelea kuweka
 
nafkiri poch ana feli zaidi kwenye upangaji wa kikosi cha kwanza.. nani waanze na nani watokee benchi ;pia na mfumo upi sahihi wakwenda nao.

aki stick na ile XI ya game dhidi ya city ;ataanza kupata matokeo kirahisi tu.

sterling ni LW ,iyo role ndio anakuwa na madhara zaidi.
 
Pia uweke na list ya wachezaji walioshindwa kuexcute maelekezo ya kocha uwanjani kwa sababu ya uwezo wao ni mdogo & lack of experience + wale makubwa jinga.
Ni kazi ya kocha kuwatambua na kuwashughulikia, Badala yake yeye kabaki ikuwakumbatia wachezaji na wengine kuwapanga kwenye nafasi ambazo sio zao

Maatsen alicheza vizuri sana Pre season lakini from no reason amemdrop hadi leo
Mchezaji anaonyesha dalili za kutocheza vizuri kipindi cha kwanza anamkumbatia hadi 90 minutes kocha gani huyo bwege tu

Sterling mechi nyingi anaonyesha kabisa hayuko uwanjani lakini utaona mchezaji anayecheza vizuri anatolewa yeye anabaki

Mchezaji mwingine kama Madueke angeleta deferent test yuko benchi tu huku sterling anaendelea kuboronga

Nimetoa mifano ila mifano ya ubovu wa Pochettinoi ziko nyingi kuanzia kwenye mazoezi pale Cobham, Inspiration ya wachezaji dressing room, selection ya timu, selection ya kapteni wa muda. Mechi na Man U unamuacha mtu kama Silva unakuja kumpa ukampteni sijui nani.

Sub zake za hovyo hadi ngedere anatucheka
 
nafkiri poch ana feli zaidi kwenye upangaji wa kikosi cha kwanza.. nani waanze na nani watokee benchi ;pia na mfumo upi sahihi wakwenda nao.

aki stick na ile XI ya game dhidi ya city ;ataanza kupata matokeo kirahisi tu.

sterling ni LW ,iyo role ndio anakuwa na madhara zaidi.
Anafeli kwenye mambo mengi
Mazoezi yake inatia shaka
Kuwatioa wacheza munkari pia inatia shaka
Upangaji wa wachezaji sio mzuri kabisa kwa sababu anawakumbatia wachezaji hata kama hawachezi vizuri
Sub zake za hovyo
Uteuzi wa Kapteni ni eneo pia ambalo hafikirii sawasawa. Mechi na Man U ni mfano, Unampa Colwill unahodha unamuacha Silva mwenye uzoefu na hekima
 
Wanangu wa Chelsea sinaga shida nanyie ,ila mmenidhalilisha Sana Kufungwa na yule kocha Tapeli ERIK 7HAG , Sasa hivi kapata na tuzo ya kocha Bora wa mwezi ,Basi wanatamba wanautaka ubingwa

Hakuna timu mbovu Kama manjesta,ndio maana kule UCL kina Copenhagen na reject za Galatasaray wamejipigia na wanamburuzisha mkia ,

Chelsea bado wamiliki wanazingua ,mpeni kocha nguvu acahgue kikosi chake

Mnafungwaje na manjesta timu inacheza kwa Vibe ,haina patern yoyote

Yule Jackson anakosa tu magoli

Sospeter Bajana alikamata ile kiungo Yao mbovu Amrabat ,nyie kina Caicedo na Enzo wameshindwaje

Amrabat alichoma akawapa chances nzuri mfunge mkashindwa ,mwisho wa mchezo wanasema Amrabat alikuwa vzr

Manjesta ukicheza nao wanatakiwa wakae nyuma wavizie kaunta tu ,Ni mwiko manjesta kupiga pass 10 kwa usahihi

20231203_003010.jpg
 
Taratibu wamiliki wamesharidhika na jinsi Chelsea inavyocheza na nafasi inayoshika kwenye ligi. Makocha nao wanaendelea kuzoea. Sisi mashabiki tumeanza kujigawa, kuna wanaoanza kukubali mchakato na baadaye wengi wetu tunakubali mchakato na hapo ndipo Chelsea yote itakuwa timu ya kawaida sana ianyopigania kubaki kwenye ligi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom