Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sasa wewe una malengo gani kuleta hizi discussions za nyuma?
Malengo gani Tena mkuu...! Swali gani hilo kwani hili ni jukwaa la siasa, kwamba nimeleta kitu ambacho ni irrelevant?

Nimeleta discussion ya zamani ili iwe rahisi Ku trace back memories ili tuendelee tulipoishia

Je bado unaona ulikuwa sahihi kutokana na maoni yako wakati ligi inaanza? Kama sio, tatizo litakuwa nini ndugu yangu

Tuliishia kwenye pressing ya msimu huu ni tofauti na msimu uliopita, Mentality ilikuwa inaonesha Chelsea ni mpya, tukawa tunasubiri Chemistry sa sijui au ilichelewa kufika ikabidi tutumie Biology...!

Na mwisho Kabisa ukaahidi Chelsea hii itakuwa Yamoto, so what gone wrong brother?
 
Good news is ,Dogo Kendry paez visa yake imekubaliwa ,anatua london soon
Vipi huyu dogo ataingia moja kwa moja senior team au ?
 
Vipi
Top four tunaingia au hatuingii?

Kombe lenu msimu huu ni kutoka draw na Mama sita.
 
Malengo gani Tena mkuu...! Swali gani hilo kwani hili ni jukwaa la siasa, kwamba nimeleta kitu ambacho ni irrelevant?

Nimeleta discussion ya zamani ili iwe rahisi Ku trace back memories ili tuendelee tulipoishia

Je bado unaona ulikuwa sahihi kutokana na maoni yako wakati ligi inaanza? Kama sio, tatizo litakuwa nini ndugu yangu

Tuliishia kwenye pressing ya msimu huu ni tofauti na msimu uliopita, Mentality ilikuwa inaonesha Chelsea ni mpya, tukawa tunasubiri Chemistry sa sijui au ilichelewa kufika ikabidi tutumie Biology...!

Na mwisho Kabisa ukaahidi Chelsea hii itakuwa Yamoto, so what gone wrong brother?
Memory weka kwa faida yako, ingekuwa na uzito zaidi kama ungeweka swali, oni, ushauri, wewe umeleta tu ukakaa kimya, hilo ndilo sikukuelewa. Kama unachamnba chama tujue, kama unauliza uliza tukujibu
 
Good news is ,Dogo Kendry paez visa yake imekubaliwa ,anatua london soon
Vipi huyu dogo ataingia moja kwa moja senior team au ?
Visa ni ya kuja kusalimia tu, muda wake ni hadi summer ya 2025
 
Steve Cooper kuhusu Andre Santos:

"Sina uhakika sana na kile kilichosemwa. Bila shaka kila mtu angependa Andrey acheze zaidi. Ni mchezaji mchanga mzuri sana, lakini hakuna wachezaji wengi wa umri wake ambao wanacheza mara kwa mara kwenye Ligi kuu ya Uingereza. .

Ni hali ambayo kama angekuwa mchezaji wetu, angekuwa katika nafasi nzuri ya kuwa ndani na karibu na kikosi cha kwanza ili kumpa nafasi ya kucheza pale inavyowezekana, lakini nikijua tunamkuza na kumtayarisha huku akiwa sio mchezaji wetu bali ni mchezaji wa Chelsea na hiyo ahli inaongeza alama ya maswali jambo ambalo naelewa."
1701478750333.png
 
View attachment 2830952
Ulale sasa Ustadh Lembu
 
Kwa nini sasa walimtaka kwa mkopo?
Huyu mzee kaonyesha disrespect ya hali ya juu
 
Pochetino press conference yake ya kwanza “it was all about winning’’ila ukimskia sasa hivi ni Process,Process,Process,
 
Memory weka kwa faida yako, ingekuwa na uzito zaidi kama ungeweka swali, oni, ushauri, wewe umeleta tu ukakaa kimya, hilo ndilo sikukuelewa. Kama unachamnba chama tujue, kama unauliza uliza tukujibu
Mbona unakuwa mkali kiongozi, Kwahiyo hujaona swali hapo Mkuu?

Nimeuliza vipi kuhusu Mentality uliyoina kwenye game ya Liverpool?

Nimeuliza kuhusu vipi chemistry unaiongelea?

Nimeuliza kuhusu ujio wa Caicedo maana ulisema akija yule Mambo Fresh?

Nimeuliza kuhusu pressing ya msimu huu uliyosema ni hatari vipi?

Kwahiyo kwa lugha nyepesi kabisa ningependa kujua kutoka kwako Yale uliyokuwa unayaona mwanzo imekuaje ndomana nikaleta na hizo shots ili iwe rahisi kwako kukumbuka tuliwahi kujadiliana kuhusu nini
 
Pochetino press conference yake ya kwanza “it was all about winning’’ila ukimskia sasa hivi ni Process,Process,Process,
Spurs wana mchanganyiko wa wachezaji wazoefu na wapya kama Chelsea lakini wanafanya vizuri zaidi kuliko Chelsea. Pochettino anahitaji kuwajibika badala ya kujificha chini ya mwavuli wa wachezaji wasio na uzoefu ili kuhalalisha kushindwa kwake.

Wana wachezaji 8 wazoefu kwenye ligi kama akina Sarr, Bissouma,Maddison, Richarlison,Son,Kuluveski, Porro na Romero na sisi tuna 10.

Tuna Sanchez, Kepa, Silva, James, Cucurella, Caicedo, Sterling, Chilwell, Gallagher, Fofana, kwa kuwataja wachache. Unaweza kuongeza Chalobah, Colwill, Enzo alicheza vyema katika nusu yake ya kwanza ya msimu uliopita. Pochettino anataka nini tena?
Process inatakiwa iandane na kukua na kushinda, hivi tyunavyokwenda na Pochettino tunaweza siku moja tukadumaa halafu tukabakia pale kwenye midtable team
 
Kama Chelsea wakishinda kesho bado watakuwa kwenye nafasi ya 10. Fulam wakishinda wataipiku Chelsea, Wolves wakishinda wataipiku Chelsea, Palace wakishinda wataipiku Chelsea, Brentford wakishinda wataipiku Chelsea. Ikiwa zote zitashinda na Chelsea kupoteza Chelsea watakuwa kwenye nafasi ya 14
 
Mbona unakuwa mkali kiongozi, Kwahiyo hujaona swali hapo Mkuu?

Nimeuliza vipi kuhusu Mentality uliyoina kwenye game ya Liverpool?

Nimeuliza kuhusu vipi chemistry unaiongelea?

Nimeuliza kuhusu ujio wa Caicedo maana ulisema akija yule Mambo Fresh?

Nimeuliza kuhusu pressing ya msimu huu uliyosema ni hatari vipi?

Kwahiyo kwa lugha nyepesi kabisa ningependa kujua kutoka kwako Yale uliyokuwa unayaona mwanzo imekuaje ndomana nikaleta na hizo shots ili iwe rahisi kwako kukumbuka tuliwahi kujadiliana kuhusu nini
Sijaona labda uliuliza baadaye, hata hivyo bado tupo kwenye process. Mtabadili lugha hivi punde. Hata Arsenal mlikaa na hao watoto wakiwa vikojozi hadi leo hii wanajua kufunga suruali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom