In term of earning nakubaliana na wewe lakini kwa maana ya performance man u imepoteaBado nakataa Chelsea na City kwamba hawo wengine hawana ushawish wa kimapato? No
Timu ambayo ikishushwa daraja ligi itatikisikq ni man united. Asikuambie mtu
In term of earning nakubaliana na wewe lakini kwa maana ya performance man u imepoteaBado nakataa Chelsea na City kwamba hawo wengine hawana ushawish wa kimapato? No
Timu ambayo ikishushwa daraja ligi itatikisikq ni man united. Asikuambie mtu
Raheem Sterling celebrating wildly after scoring a hattrick against dorking wanderers in the English national leagueWakifanya hivyo bora TFF mara 1000 kuliko hao FA, mpira unakuja kuzoroteshwa na sheria za kiduanzi. Bora wangeweka tu faini za pesa hata kama ni nyingi ili isije ikaaffect performance na ubora wa ligi. Najua City na Chelsea wakishushwa daraja ni msimu ujao tu tunarudi tena kwa hasira zaidi lakini EPL inapata doa kubwa sana kuliko hii iliyokwisha jijengea. EPL pia itakosa mapato kwa kuondoa timu shindani na kuzibakiza makanjanja



Mwingine huyu anaota ndoto nyevu. Man yu kwa lipi?Bado nakataa Chelsea na City kwamba hawo wengine hawana ushawish wa kimapato? No
Timu ambayo ikishushwa daraja ligi itatikisikq ni man united. Asikuambie mtu
Duniani vituko haviishi 🤣🤣🤣Mabinti wazuri na warembo ila wanaoana wenyewe kwa wenyewe
Niliacha wakati fulani kushabikia timu za nyumbani kwa sababu ya uchawi
Sasa hizi timu za Ulaya nitaacha kuzishabikia kwa sababu za ushoga na usagaji
Na eti wanapongezwa kwa kufanya huo ujinga
Congratulations to Sam Kerr and Kristie Mewis who have just announced their engagement
View attachment 2821006
Kikosi nataka kiwe hiviWesley Fofana amerudi kukanyaga majani Cobham!
Christopher Nkunku amerudi kwenye kikosi!
Romeu Lavia amerudi amerudi kwenye kikosi!
Ben Chilwell anarudi naye
Kandanda la Chelsea limerudi jamani!
Raha mbele kwa mbele
Mabeki watakuwa 11 (Wanaotakiwa ni 8 tu)
2 - Axel Disasi
3 - Marc Cucurella
5 - Benoit Badiashile
6 - Thiago Silva
14 - Trevoh Chalobah
21 - Ben Chilwell
24 - Reece James
26 - Levi Colwill
27 - Malo Gusto
29 - Ian Maatsen
33 - Wesley Fofana
Viungo 7 (wanaotakiwa ni 5 tu)
8 - Enzo Fernandez
cole Palmer
Moises Caisedo
Romeo Lavia
16 - Lesley Ugochukwu
17 - Carney Chukwuemeka
23 - Conor Gallagher
Washambuliaji 8 (wanaotakiwa ni 5 tu)
19 - Armando Broja
18 - Christopher Nkunku
10 - Mykhailo Mudryk
7 - Raheem Sterling
11 - Noni Madueke
15 - Nicolas Jackson
Deivid Washington
Alex Mato
Huyo petrovic mmewai kumuona akicheza ??? Au ndo yale ya kina AYUBU maana mashabiki wanatabia wanataka kila mchezaji hasahasa hawa ambao hamjawai kuwaonaKikosi nataka kiwe hivi
1. Petrovic
2.James
3.Benchillwel
4.Fofana
5.Thiago silva
6.Lavia
7.Nkuku
8.Caicedo
9.Jackson
10.Gallagher
11.Cole Palmer
huyo kipa ni nusu mtu ungekuwa unafuatilia team yake ya Taifa ungemuelewa ni kipa ambaye ana daka mno ana uwezo mkubwa sana wa kudaka kuna sehemu unaweza kusema ni goal yeye akafanya save ya hatari sijajua kwanini pottentino hampi nafasiHuyo petrovic mmewai kumuona akicheza ??? Au ndo yale ya kina AYUBU maana mashabiki wanatabia wanataka kila mchezaji hasahasa hawa ambao hamjawai kuwaona
Kweli?huyo kipa ni nusu mtu ungekuwa unafuatilia team yake ya Taifa ungemuelewa ni kipa ambaye ana daka mno ana uwezo mkubwa sana wa kudaka kuna sehemu unaweza kusema ni goal yeye akafanya sijajua kwanini pottentino hampi nafasi
Ndio mkuu yupo bomba sana hafungwagi magoal ya kijinga alafu ni kipa anaejiaminiKweli?
Mabeki wengi ,inabidi Thiago Silva astaafu ,chalobah msimu ujao asepe pia na yule fofana awekwe kwenye uangalizi au auzwe mazima ,majereha hayaishi kila siku kitandaniKikosi nataka kiwe hivi
1. Petrovic
2.James
3.Benchillwel
4.Fofana
5.Thiago silva
6.Lavia
7.Nkuku
8.Caicedo
9.Jackson
10.Gallagher
11.Cole Palmer
Thiago Silva astaafu kwasababu zipi wakati yupo kwenye kiwango boraMabeki wengi ,inabidi Thiago Silva astaafu ,chalobah msimu ujao asepe pia na yule fofana awekwe kwenye uangalizi au auzwe mazima ,majereha hayaishi kila siku kitandani
Kama ambavyo tunaelewa umuhim wa Gallagher saivi, basi nna Imani tutakuja kuelewa umuhim wa Sanchez piaGame hilo hapo the blues, tukibakia kwenye huo mwendo kasi, UEFA tumerudi
View attachment 2822797
Disasi ana ukatili kama wa Rudiger, anaweza pia akaja kuwa CB bora. Tatizo lake au udhaifu wake mkubwa ni spidi hana na sio clinical kwenye kudefend kama Badiashile. Inayompa upendelea kwa sasa ni fitness ya Badiashile bado haijarudiHili naomba tulijadili hivi kweli Disasi ni better kuliko Bachiashile?
Nasemea msimu ujao ni lazima astaafu ,aache gepu kwa madogo wadevelop naoThiago Silva astaafu kwasababu zipi wakati yupo kwenye kiwango bora
Hapo Sam Kerr ndio wanam-term kama husband.. Dah!Mabinti wazuri na warembo ila wanaoana wenyewe kwa wenyewe
Niliacha wakati fulani kushabikia timu za nyumbani kwa sababu ya uchawi
Sasa hizi timu za Ulaya nitaacha kuzishabikia kwa sababu za ushoga na usagaji
Na eti wanapongezwa kwa kufanya huo ujinga
Congratulations to Sam Kerr and Kristie Mewis who have just announced their engagement
View attachment 2821006