Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Japokuwa spurs amecheza pungufu lakini hata kabla ya kadi tumeubonda sana ,najiuliza kwanini morale hii inatokea kwenye big match TU ,tukicheza na Brentford,westham wachezaji wanakuwa kama wamefungwa mawe miguuni,kiukweli sijafurahishwa na huu ushindi kabisa.Ni Bora kufungwa na spurs umfunge westham,Everton,Brentford na wengine wa aina hiyo ,ushindi huu ni faida Kwa arsenal,city; kwetu ni ujinga tu maana hatuna uhakika wa point baada ya gemu ya city.
Nilisema mara kwa mara kuwa tatizo la Pochettino liko kwenye small and midtable teams, hachezi kama alivyocheza na Liverpool au Arsenal.

Hata jana na ushindi ule mkubwa bado Chelsea hatucheza vizuri kwenye kukaa na mpira, tunakaa na mpira hadi tunyang'anywe. Hatupeleki pasi kwa haraka. Kama sio Enzo nadhani na James kumtaka kocha abadili mbinu ndipo zile counter attack zikaanza kuchezwa na kutuletea magoli. Pochettino alibakia na ile tabia tu ya kupasiana na kutafuta loop hole ya kuatack kikawaida

Hata pamoja na Hatrick bado tatizo la Jackson liko pale pale, tuwashukuru Spurs na kocha wao kwa kuwa stuborn wako 9 lakini bado wanapress high line na kuacha matobo kule nyuma

Jackos bado mzigo, mechi zijazo zitadhibitisha hili
 
Ni nini kimetokea jana. Mimi niliangalia kikosi sikutaka kuangalia mechi kabisa nilijua tu Spurs hatukosi goli 3. Nimeshangaa kukutana na maajabu eti striker wetu kaondoka na hattrick
Kosa la kwanza Spurs walikuja kama vita vile, walitukamia sana na tusingekuwa watulivu wangetuadhiri sana ndani ya dakika chache. Pili Christian Romero mcheza foul mkubwa EPL alitusaidia baada ya kumchezea rafu mbaya Enzo kwenye penalty box wakapewa double punishment, ya kwanza penalti na ya pili red card

Waliendlea kucheza kivita hata baada ya kuwa pungufu ndip tena Udogle akatolewa baada ya kumchezea rafu mara mbili Sterling

Tuendelee kumshukuru kocha wa Spurs kwa sababu hata baada ya kubaki 8 uwanjani aliendlea kuwalazimisha wachezaji wake wapigane kivita, yaani wafanye press high line na kutuachia matundu ambayo hata wale academy wetu wangeweza kupata matokea rahisi kabisa. Ni kwa approach hiyo Jackson jana alionekana shujaa kumbe wap[i, Jackson bado yuko ni yule yule tunayemjua ambaye hajiamini na hayuko clinical kwenye kufunga, asiyeweza kuchukua nafasi za ufungaji kama strikers wengine
 
Japokuwa spurs amecheza pungufu lakini hata kabla ya kadi tumeubonda sana ,najiuliza kwanini morale hii inatokea kwenye big match TU ,tukicheza na Brentford,westham wachezaji wanakuwa kama wamefungwa mawe miguuni,kiukweli sijafurahishwa na huu ushindi kabisa.Ni Bora kufungwa na spurs umfunge westham,Everton,Brentford na wengine wa aina hiyo ,ushindi huu ni faida Kwa arsenal,city; kwetu ni ujinga tu maana hatuna uhakika wa point baada ya gemu ya city.
Jamaa nina wasi wasi na ushabiki wako. Iweje sisi tushinde game useme faida haipo kwetu?
 
Kosa la kwanza Spurs walikuja kama vita vile, walitukamia sana na tusingekuwa watulivu wangetuadhiri sana ndani ya dakika chache. Pili Christian Romero mcheza foul mkubwa EPL alitusaidia baada ya kumchezea rafu mbaya Enzo kwenye penalty box wakapewa double punishment, ya kwanza penalti na ya pili red card

Waliendlea kucheza kivita hata baada ya kuwa pungufu ndip tena Udogle akatolewa baada ya kumchezea rafu mara mbili Sterling

Tuendelee kumshukuru kocha wa Spurs kwa sababu hata baada ya kubaki 8 uwanjani aliendlea kuwalazimisha wachezaji wake wapigane kivita, yaani wafanye press high line na kutuachia matundu ambayo hata wale academy wetu wangeweza kupata matokea rahisi kabisa. Ni kwa approach hiyo Jackson jana alionekana shujaa kumbe wap[i, Jackson bado yuko ni yule yule tunayemjua ambaye hajiamini na hayuko clinical kwenye kufunga, asiyeweza kuchukua nafasi za ufungaji kama strikers wengine
Romero anacheza kihuni, alimpga Colwill kiatu mwanzo wkt goli la chelsea linakataliwa sema haikutiliwa maanani mana kulikua kuna mambo ya VAR kucheck goli. Alipaswa ale nyano mapema.

Ile ya Odogie kw Sterling ilipaswa kuwa red card mapema sana, hakumpata sterling vizur ila ukishaonyesha kiatu vile inakua red card mana intention inakua ni kuvunja.

Bado hatupo vizuri tumestruggle sana kupata goli. Ilipaswa tushinde goli9, imagine sisi ndio tungekua pungufu.
 
Sijui kwanini mnajificha kwenye spurs kuwa 8 kwamba bila hizo red tusingeshinda mechi, mpinzani wako kupata red haijustify kuwa lazima ushinde liverpool alipata red na akashinda dhidi ya newcastle, liverpool alipata red card Ila akafungwa kwa mbinde na spurs 2 kwa 1 tena dk za mwisho Ndio spurs anafunga goal la ushindi.

Jana tulicheza vizuri sana hata bila hizo red card still spurs alikuwa anakufa kitu ambacho ujui Chelsea anaenjoy sana kucheza dhidi ya mpinzani anayecheza open football kama spurs Ndio Maana tuliwapa tabu Arsenal na liverpool tofauti ilikuwepo ni kwamba angalau dhidi ya spurs tulikuwa clinical japo kidogo kwenye kufunga Ndio Maana tukapata goal nne lakini tatizo letu ni lile lile hatupo vizuri kwenye kufunga magoal.Nazani kocha anatakiwa afanyie kazi tu dhidi ya team pinzani zinazocheza mpira wa kupark bus hapa ndipo tunastruggle kuliko maelezo
 
Romero anacheza kihuni, alimpga Colwill kiatu mwanzo wkt goli la chelsea linakataliwa sema haikutiliwa maanani mana kulikua kuna mambo ya VAR kucheck goli. Alipaswa ale nyano mapema.

Ile ya Odogie kw Sterling ilipaswa kuwa red card mapema sana, hakumpata sterling vizur ila ukishaonyesha kiatu vile inakua red card mana intention inakua ni kuvunja.

Bado hatupo vizuri tumestruggle sana kupata goli. Ilipaswa tushinde goli9, imagine sisi ndio tungekua pungufu.
Ile foul ya kwanza ya Udogie haikuwa red, VAR ilikuwa inacheki pamoaj na dangerous play ila pia kama Sterling alikuwa last man na hivyo kunyimwa haki ya kwenda kufunga wakakuta sio
 
Siongelei kuhusu last man, naongelea uingiaji wa vile, kuna matukio km hayo naona wanapewa red card, hata kama hujamgusa mchezaji ila intention ni kuvunja. Sema sio mtafutaji mzuri wa matukio ila ningeweza ningeleta videos hapa.
 
Hata last man unapewa red card nje ya penalty box, Na watangazaji wa premium league walikuwa zaidi wanajadili hilo la last mana kuliko dangerous play
 
Siongelei kuhusu last man, naongelea uingiaji wa vile, kuna matukio km hayo naona wanapewa red card, hata kama hujamgusa mchezaji ila intention ni kuvunja. Sema sio mtafutaji mzuri wa matukio ila ningeweza ningeleta videos hapa.
Ligi ya Uingereza sikuhzi imekaa kipumbavu sana....yaani mtu anainua kabisa njumu kukuvaa halafu wanakuja na sababu za kijinga kuhalalisha maamuzi Yao ya kutochukua hatua yyte...ile rafu kama sterling ingempata ingeweza kumuweka nje kabisa
 
Exactly ndicho nilichokua nakijadili, uingiaji wa vile ni direct red card mana angampata saa hizi Sterling angekua MOI.

Halafu nilishashuhudia mtu alicheza vile akala umeme, hata hakumgusa mchezaji sikumbuki vizur alitokea sub akala umeme. Leo hii maamuz yako tofauti. cjui sheria zao zinafuatwa kutokana na mechi.
 
Siongelei kuhusu last man, naongelea uingiaji wa vile, kuna matukio km hayo naona wanapewa red card, hata kama hujamgusa mchezaji ila intention ni kuvunja. Sema sio mtafutaji mzuri wa matukio ila ningeweza ningeleta videos hapa.
Yule referee wenu msompenda akashushwa championship kwnda kuchezesha...wamemrudisha na amechaguliwa kuchezesha gemu yenu na City🤠🤠🤠...hiki chama cha soka cha England kuna namna wanatumia bangi sio bure
 
Chelsea ni team isiyopendwa sana pale Epl so hatushangai na haya maamuzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom