Mungu ibariki ChelseaTayari wamegongwa kimoja
Shukrani kwa utabiri wa 4 mkuu..!!Chelsea wanashindwa kabisa kutumia akili. Yaani watu 11 kwa 9 mnashindwa kufunga. Ngoja tuone.
Chelsea watanue uwanja, wapige pasi sana mbona hata 4 wanazipata. Yaani dk 10 zimeisha mpaka sasa hakuna kitu.
Ila bado Chelsea kuna matatzo makubwa sana kama timuNilijuasiku moja huu uchezajiw a Spurs wa kutrumia nguvu sana utawarudia
Kadi mbili nyekundu, mchezaji muhimu kama Madison katolewa misuli
Spurs wamesambaratika. Chelsea tushindwe tu wenyewe, ushindi uko mikononi mwetu
Colwill anamuanzisha pembeni kwasababu ya uwezo wake wa kupiga pas ndefu leo lengo lilkua kutumia counter attack mpaka spurs walivyojisambaratisha wenyeweKilaza Jackson kapiga hatrick Kwa timu pungufu
Ila performance kusema ukweli bado hairidhishi kivile .
Just imagine spurs pamoja na kuwa pungufu bado wakakaza tako na kama si kosa kosa ya son walikuwa wanarudisha .
Halafu Pochetino sijui kwanini ana kichwa kibovu cha kurudia kufanya makosa yale yale ,unamunzisha Colwill kama left back wakati kuna Cucurella na performance yake imeimprove
Hata goli la Spurs limetokea huko kwa Colwill ,
Na mechi ya Westham nakumbuka goli mbili zote zilitokea huko upande wake alikokuwa kacheza kama left back
Sijui anafanya experiment gani na Colwill kuwa left back ,kila akimuweka left back anachoma ,kichwa maji poch
Kwahiyo mashabiki wa Chelwowo siku hizi mnaogopa kuangalia mechi zenuNi nini kimetokea jana. Mimi niliangalia kikosi sikutaka kuangalia mechi kabisa nilijua tu Spurs hatukosi goli 3. Nimeshangaa kukutana na maajabu eti striker wetu kaondoka na hattrick
Spurs walikuwa wanacheza rafu sana na kutumia matumizi makubwa ya nguvu ndicho kilipelekea kula red card walipewa pressure kubwa na Chelsea in short Chelsea ilikuwa bora sana zilitakiwa ziwe hata 8 Jackson angeweza kufunga goal hata 6 pekee aliwekewa pass nzuri na mudryk yeye na kipa akakosa nyingine aliwekewa na Palmer akakosa na nyingine kipa akawahi kusweep.Chelsea ilikuwa bora cos spurs walikuwa nao wanafunguka Chelsea inapata tabu ikikutana na team zinazopark bus na Ndio Maana wanapoteza dhidi ya team like BrentfordKatikati ya vita ya Israel na Gaza unapata wapi uzingizi? Jana nililala sikuweza kuangalia mechi. NISAMEHENI
Sasa Asubuhi Naangalia matokeo naona tumeshinda goli 4. Nikajiuliza nini kimetokea?
Pamoja na advantage ya hizo Red card, HONGERENI THE BLUES KWA USHINDI.
Point 3 muhimu katikati ya vita.
Kapiga hattrik lakini kakosa goal 3 za wazi Chelsea inakuwa bora ikikutana na team zinazocheza open football kama walivyocheza spurs wanakuja kustruggle wanapokutana na team zinazopark busNi nini kimetokea jana. Mimi niliangalia kikosi sikutaka kuangalia mechi kabisa nilijua tu Spurs hatukosi goli 3. Nimeshangaa kukutana na maajabu eti striker wetu kaondoka na hattrick