Kapandishwa tena??! Hata huko championship ameshaenda kuchezesha mechi hata moja?Yule referee wenu msompenda akashushwa championship kwnda kuchezesha...wamemrudisha na amechaguliwa kuchezesha gemu yenu na City🤠🤠🤠...hiki chama cha soka cha England kuna namna wanatumia bangi sio bure
,