Eric Banks
Senior Member
- Jun 4, 2015
- 179
- 249
Website ipi ni nzuri kwa kustream game live????
Tayari wamegongwa kimojaThe blues msituangushe bwana[emoji170][emoji91][emoji91][emoji91]
Hawa jamaa sijui wana shida gani...ndani ya dk 10 za mwanzo washawekwa...Mpigwe mpaka mkome.. Kenge nyie!
Sindo mlikua mnamshabikia humu maana mimi wakati tetesi za Usajil zilivyoanza mimi hata nilikua simjui , sitamani hata kumuona maana yasije yakawa matatizo makubwa zaidiLavia hadi ananenepa. Anakula mshahara wa bure tu akibonyeza remote yake Getto akibadili chanels za TV tu
Mpira ni ajira nzuri sana hasa ukubahatika kuajiriw akwenye timu kubwa
View attachment 2806342
Chelsea hii mechi mshindwe wenyewe sasa😀😀..msituangushe sasa ndugu zetu....wadundeni hawa jamaa na huu mpira wao wa vuruguTunauza mechi sisi hatutaki ushindi.
Yule Romero simpendi mshenzi yule...huwa ana rafu za kuumiza kabisa halafu huwa anaonewa huruma na marefa....Pigeni kenge hizo
Umesha sema Dogo huenda hata mwalimu nae anamuona dgoHalafu lilivyo jinga kuna nafasi moja ya wazi limekosa kabisa hilo mbumbumbu , hivi kwanini hawampi nafasi yule dogo mbrasil anayeitwa Washington ?
Mudryk acheze aidha false 9 au sterling au palmerHalafu lilivyo jinga kuna nafasi moja ya wazi limekosa kabisa hilo mbumbumbu , hivi kwanini hawampi nafasi yule dogo mbrasil anayeitwa Washington ?
Umenichekesha sana, siyo mwalimu tu ata yeye Washington mwenyewe anaogopa lawama kwenye umri huuUmesha sema Dogo huenda hata mwalimu nae anamuona dgo
Ile Dhambi dhidi ya Liverpool leo Spurs nao inewarudia. Chelsea hapa mna zaidi ya dk 30 ni suala la kutulia na kutanua uwanja basi. Mkishindwa basi tena.Nilijuasiku moja huu uchezajiw a Spurs wa kutrumia nguvu sana utawarudia
Kadi mbili nyekundu, mchezaji muhimu kama Madison katolewa misuli
Spurs wamesambaratika Chelsea tushindwe tu wenyewe