THE BLUES vs CITIZEN
Paparazi - Jackson - Palmer
Enzo - Caicedo - Gallagher
Cucu - Colwil - Silva - James
Tunaenda kucheza na City ambayo kauli mbiu yake ni "Msako wa nyumba kwa nyumba, chumba kwa chumba na kitanda kwa kitanda, utatoa hutoi"
Changamoto yetu ni kukata moto katikati ya mchezo huwa 1st half tunakiwasha hatare, 2nd half tunalala fofofo na kucheza bora liende.
Leo wachezaji wetu wajitoe kweli kweli dakika zote za mchezo, City ukisinzia kidogo tuu unakula za uso haraka haraka.
City wanafungika vizuri sana ila kwa kujituma zaidi yao uwanjani.