Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Muwafunge Spurs
Kazeni miguu

Muibuke kidedea

Tunakesha kuombea hii mechi keshokutwa
Jtatu tutakuwa na sweters wengi kisa ntu mnahitaji hiyo nafasi ya Spurs. Keshokutwa tutawaruhusu Spurs watufunge hata 10. Hapo vipi?
 
The blues for life 🔥💙🔥💙😂
Chama kubwa Chelshit

Chapa spurs
Mungu ibariki Rasta FC
 
Emma Hayes OBE ataihama Chelsea wanawake mwishini mwa msimu huu imedhibitishwa na tofuti ya Chelsea

Emma alijiunga na Chelsea mwaka 2012 na wakati wa uongozi wake alishinda mataji sita ya FA WSL, matano ya Kombe la FA kwa Wanawake, Makombe mawili ya Ligi ya Wanawake ya FA, kombe moja la FA Women's Spring Series na moja la Ngao ya Jamii ya FA ya Wanawake.

1699127320013.png
 
Emma Hayes OBE ataihama Chelsea wanawake mwishinu mwa msimu huu imedhibitishwa na tofuti ya Chelsea

Emma alijiunga na Chelsea mwaka 2012 na wakati wa uongozi wake alishinda mataji sita ya FA WSL, matano ya Kombe la FA kwa Wanawake, Makombe mawili ya Ligi ya Wanawake ya FA, kombe moja la FA Women's Spring Series na moja la Ngao ya Jamii ya FA ya Wanawake.

View attachment 2804006
Sababu yakuondoka ni nini?
 
Chelsea ndugu zangu nyie
Hziyech22 unanikataa.
Sometime muwe mnakuja jukwaa la united, tunapiga stori km ndugu.
Karibuni sana na kahawa itakuwepo
 
ARse88 walinusurika kutolewa bikira na sisi, wakachoropoka chupi mkononi. Zamu ya hawa Tot.
 
Kushuka daraja sio rahis hivyo mkuu, timu ikikaa sawa hata top 4 is possible, tunza hii comment.
Tukiendelea kumtegemea Maiko Jackson pale mbele hatutafunga magoli na tutapoteza points kama sio mbili ni tatu kila mechi hadi Nkunku arudi, na akirudi ni Injury prone, anaweza akacheza mechi mbili au tatu kama James akarudi kitandani
Ili tuingie top 4 lazima tumuepuke Jackson na pia James, Chilwell na Nkunku wasiendelee kuwa majeruhi
 
Lavia hadi ananenepa. Anakula mshahara wa bure tu akibonyeza remote yake Getto akibadili chanels za TV tu
Mpira ni ajira nzuri sana hasa ukubahatika kuajiriw akwenye timu kubwa
1699299482690.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom