verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,121
- 6,184
Leteni Paundi Million Mia tuwape Nketiah, Striker la mabao, Striker la mahat-trick
Kenge zimerudi mafichoni
Nyumbu zinaogopa kuingia humu kuwacheka maana na zenyewe ni kama kenge tu



It's scary but not for us 😂Hii ratiba ipo sasa mwana Arsenal mwenzangu ? MalcolM XII mbona inatisha?
Hawaji kabisa kujibu mashambulizi🤠🤠🤠...wiki iloisha walitujazia nzi kwlikwli kwny jukwaa letu...wachangie chchte...pengo la Mkukumkuku linaonekana kabisa....akirudi timu itakuwa vzuri...ila yule Jackson sijui ile mbegu waliitoa wapi....yule hata Gwambina hapati namba yle jamaaHumu mnajadili nini????
Au mnakunywa kahawa kimya kimya😅😅😅
Hatutaki makapi sisi , Umesahau ni product ya cobham huyu ?Leteni Paundi Million Mia tuwape Nketiah, Striker la mabao, Striker la mahat-trick View attachment 2795966
ee bwana eeDaraja limevunjwa na nyuki![]()
Utamfananisha Jackson na hyu jamaa kwli??Hatutaki makapi sisi , Umesahau ni product ya cobham huyu ?
Umenikumbusha Unai Emery,mpira aliokuwa anafundisha Arsenal sawa sawa na anaofundisha ETH pale manjesta,Pochetino ni kocha wa timu ndogo.
Mfano mzuri ni Unai Emery. Kachukua Europa na Sevilla ambayo kwa sasa tunaichukulia kama timu ndogo, PSG wakamchukua mwishowe hajawapa wanachotaka. Akatimuliwa. Tukamsajili Arsenal lakini ikaonekana hawezi kuifikisha Arsenal inapotakiwa. Sasa hivi karudi kwa wadogo wenzie Villa.
Safari ya Unai ni kama hii ya Poch maana na yeye kapatia jina Spurs, PSG wakapita nae mwisho akaonekana ni kocha wa timu ndogo. Sasa yupo kwa wadogo wenzie.
Ukiwasikiliza sasa mashabiki wa humu na matarajio yao unaweza sema wamekatwa vichwa!
Jackson anatia kinyaa jinsi anavyocheza aisee ,jitu linapewa clear chances linashindwa kumalizia ,Utamfananisha Jackson na hyu jamaa kwli??
Eeh!!


kiko wapiSio kIla mechi, kuna mechi sita mfululizo tangu mechi na Forest kacheza bila makosa na ndie yeye katuweka mchezoni kwenye hizo mechi
Ilikua ukimuambia anatuma picha, sasa unashangaa huyu anafurahia vipi sareHuyo jamaa ile sare ilimdanganya sana