Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Umenikumbusha Unai Emery,mpira aliokuwa anafundisha Arsenal sawa sawa na anaofundisha ETH pale manjesta,

ila anasema alipofukuzwa Arsenal alirudi kujifunza Tena ,anasema kupita Arsenal Ni Kama kulimsaidia akajinoe vzr kwenye ukocha na tamaduni za soka la EPL
Bro nilisema Pochettino hamna kitu
 
Wakuu mimi nimeona kama ile mechi imeuzwa kwa hizi kampuni za betting
Team kubwa kama Chelsea inayonunua ..

Enzo £100m
Mudryk £106m
Sterling £60m
Fofana £80m
Nkunku £85m
Mtoto mdogo Palmer kutoka academy ya city £40m na ndio wanasema Ni next fabrigas

Team yenye matumizi ya pesa hivo iuze game ,Kwa Shilingi ngapi Kwa toddy pesa sio tatizo ,tatizo Ni Hana Akili ya kutumia pesa ...
 
Timu yenu bado haijaweza kudisplay quality kwenye settled attacks, mechi dhidi ya Arsenal hata dhidi ya liverpool mlitegemea zaidi kushambulia kupitia transitional moments. The ball to mudryk or the ball to Raheem and its over. Sasa dhidi ya small teams ambazo zipo nyuma muda wote huwezi kurely thru transition, unahitaji kusustain attacks ili ushinde goli, ndio maana kwangu Spurs ni bora kuliko Chelsea kwa sababu hii, Spurs know how to sustain pressure paka pale poch atapofanyia kazi hii changamoto. Na hii ni ishu ya kocha kuliko wachezaji, kama kocha anacheza na 3-1-6 hii maanake nini? Ishu sio kujaza tu wachezaji mbele, mbona Gunners tunacheza 3-2-5 na tunashinda goli 5. Suala ni kuwa rational kwa unachotaka ku achieve, sustain real pressure first and the goals will come.
 
Ndio maana huwa nasema bora timu icheze mfumo wa kupaki bus upate ushindi wa goli 1 au utoe draw ya 0 - 0 ila sio kufungwa ovyo ovyo, kuliko kucheza game ya kufunguka unashambilia ujinga ujinga na mwisho wa game ni kufungwa.

------ Mudyk - Sterling - Palmer -----

Cucu ---- Enzo --- Caicedo ---- James

------Colwil ---- Silva ---- Disasi ------
kwahiyo mnataka mpaka mechi na Brentford mkae nyuma? Ili mtegemee counter?😀

Mnaanza ku sound kama nyumbu.
 
Kupaki bus au ulinzi shirikishi ndio asili yetu ni utamaduni wetu wa kiuchezaji.

Ndio mfumo wenye mafanikio makubwa zaidi THE BLUES kuliko mifumo mingine.

Hiyo mifumo ya kufunguka, kucheza wide na kushambulia kama nyuki tuwaachie Liverkuku na city.
Dunia ya mpira imeshatoka kwenye mpira wakupaki Basi

Utapigwa msako Hadi useme umeficha wapi bange
 
Hawaji kabisa kujibu mashambulizi🤠🤠🤠...wiki iloisha walitujazia nzi kwlikwli kwny jukwaa letu...wachangie chchte...pengo la Mkukumkuku linaonekana kabisa....akirudi timu itakuwa vzuri...ila yule Jackson sijui ile mbegu waliitoa wapi....yule hata Gwambina hapati namba yle jamaa
Ile mbegu.....dah mjomba umeua.
 
Kwa Ratiba yenu msidanganyane kabisa

Mna mechi 8-9 dume ,

Ukicheza na Chelsea hakikisha unapiga on target za kutosha lazima uondoke na ushindi

Sanchez sio top GK,

Vs Arsenal mliziba Sana kwa muda mrefu tusipate ON TARGET

Sanchez Hana tofauti na Onana

Ukicheza na hao makipa ,kuwa na Imani tu ,magoli yatapatikana Ni makipa wa bovu kwenye saves
 
So Sanchez akaenda kusaidia shambulizi la kona.

Ila hakuachwa mtu mwenye pace kulinda attack.

Na hakuachwa mtu kulinda loose ball.

Hii ni akili ya kawaida hata kocha asipokuambia.

Mfano mbele ya dimba angekuepo Sterling au Mudryk goli lingekua kwa 60% kwenye 100%
 
Ndio maana huwa nasema bora timu icheze mfumo wa kupaki bus upate ushindi wa goli 1 au utoe draw ya 0 - 0 ila sio kufungwa ovyo ovyo, kuliko kucheza game ya kufunguka unashambilia ujinga ujinga na mwisho wa game ni kufungwa.

------ Mudyk - Sterling - Palmer -----

Cucu ---- Enzo --- Caicedo ---- James

------Colwil ---- Silva ---- Disasi ------
Kocha mjinga sana, Disasi alishamudu RCB halafu anakuja kumfanya RB

Pochettino ana matatizo, hataki kumtumia Maatsen aliyecheza vizuri kwenye Pre Season. Jackson anahitaji dakika chache ili kuruhusu wengine kuonyesha uwezo wao. Palmer, Mudryk na Sterling wanaweza kucheza no. 9, kwa nini asiwajaribu? Mara ya mwisho alipofanya hivyo tulikuwa na matokeo mazuri. Amjaribu na Petrovic. Sachez anafanya vizuri ila bado hayuko serious, saa nyingine ana madharau, haruki, hafanyi dive zinazotakiwa

--------------- Palmer-----------------

Mudyk -----------Maatsen ------------Sterling

---------- Enzo -------------- Caicedo ------

Colwil ------- Silva -------- Disasi ------James

------------------- Petrovic -----------------
 
Chelsea kila siku mnapanga kikosi kipya! 😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom