Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 33,673
- 97,443
Watasema hana rasta hatumtaki.Leteni Paundi Million Mia tuwape Nketiah, Striker la mabao, Striker la mahat-trick View attachment 2795966
Watasema hana rasta hatumtaki.Leteni Paundi Million Mia tuwape Nketiah, Striker la mabao, Striker la mahat-trick View attachment 2795966
Halafu wanajifanya wajuaji kuliko kocha ambaye kila siku yupo na wachezaji mazoezini😀😀😀Chelsea kila siku mnapanga kikosi kipya! 😂
Kwa sababu ni kikosi kipyaChelsea kila siku mnapanga kikosi kipya! 😂
Kabila gani huyo, mbona kama ni mang'ati au ndoroboLeteni Paundi Million Mia tuwape Nketiah, Striker la mabao, Striker la mahat-trick View attachment 2795966
Striker asiye kaa kwenye mkao wa kufunga ni mzigo na inafanya timu ionekane inacheza pungufuFalse No.9[emoji28][emoji28]
Jamaa kila siku anabadili lineup [emoji1787][emoji1787]Chelsea kila siku mnapanga kikosi kipya! [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watasema hana rasta hatumtaki.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Leo nimepata taarifa Rasmi kuwa hawa ndiyo Scout Team ya Chelsea.View attachment 2797287
Oya ndio maana watu wanakuchukia humu, hunaga baya mzee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamaa kila siku anabadili lineup [emoji1787][emoji1787]
Kesho wakipigwa atakwambia aanze Ogochukwu , Washington , na hivi Wana wachezaji 100, kila siku atakuja na lineup mpya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa kifupi wanakikosi kipana [emoji1787][emoji1787]Jamaa kila siku anabadili lineup [emoji1787][emoji1787]
Kesho wakipigwa atakwambia aanze Ogochukwu , Washington , na hivi Wana wachezaji 100, kila siku atakuja na lineup mpya
Hapana chuki zao tu, mfano mm namuelewa Sana PochetinoOya ndio maana watu wanakuchukia humu, hunaga baya mzee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unamkosea heshima ole gunar one of the best ID Talent managerName: Ten Hag
Hype: Klopp
Hair cut: Pep Gurdiola
Expectations: Sir Alex Ferguson
Attitude: Mourinho
Reality: Ole gunnar solskajar
Mfalme njozi umeoteshwaTHE BLUES EPL NEXT FIXTURES
Vs Tottenham - TUNAFUNGWA
Vs Man city - TUNAFUNGWA
Vs Newcastle - TUNAFUNGWA
Vs Brighton - SARE/KUFUNGWA
Vs Man Utd - PIPA NA MFUNIKO/SARE
Matokeo yakiwa hivi Basi nafas ya 15-17 inawahusu ,shukuruni Luton , Sheffield na Burney wanafungwa SanaTHE BLUES EPL NEXT FIXTURES
Vs Tottenham - TUNAFUNGWA
Vs Man city - TUNAFUNGWA
Vs Newcastle - TUNAFUNGWA
Vs Brighton - SARE/KUFUNGWA
Vs Man Utd - PIPA NA MFUNIKO/SARE
Hawa jamaa wana first 11 si chini ya nne tofauti bila kurudia mchezaji hata mmojaJamaa kila siku anabadili lineup [emoji1787][emoji1787]
Kesho wakipigwa atakwambia aanze Ogochukwu , Washington , na hivi Wana wachezaji 100, kila siku atakuja na lineup mpya
Hii nimeiona sana, Chelsea fans mnasingizia sababu ya kutoconvert chances mnazotengeneza ni kutokana na kukosekana kwa Nkunku.Alan Shearer: “I tell you who won’t be getting in the top four, Chelsea! They were really poor. Poor in the final third. They are now talking about [Christopher] Nkunku being back with him being injured but he’s not really a centre forward is he, so that is going to put unnecessary pressure on him. If anyone had Chelsea in and around the top four, I don’t see that happening at all.”