Lello199
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 1,385
- 3,555
KOCHA HAPANGI TIMU YA USHINDI WALA HAJI NA GAME PLAN YA KUSHINDA KWENYE TIMU NDOGO NGOJA TUKUTANE NA TIMU KUBWA UTADHANI NI CHELSEA NYINGINE INACHEZANahis hata kocha sizani kma anatosha sanaaaa sina hakika
KOCHA HAPANGI TIMU YA USHINDI WALA HAJI NA GAME PLAN YA KUSHINDA KWENYE TIMU NDOGO NGOJA TUKUTANE NA TIMU KUBWA UTADHANI NI CHELSEA NYINGINE INACHEZAkwani caicedo hakuwepo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hii ratiba ipo sasa mwana Arsenal mwenzangu ? MalcolM XII mbona inatisha?Kenge mtanisamehe.. January ikifika mtakuwa nafasi ya 20 mkigombea kushuka daraja.View attachment 2795795
Sawa.unaelewa kweli unachokiongea? Arse88 ni timu kubwa kutoka lini?
Kuna mmoja ameanza hadi claim Arsenal sio timu kubwa.Yameanza kujilaumu haya mapimbi
Wamepata suluhu na Arsenal wakaona wameivaKuna mmoja ameanza hadi claim Arsenal sio timu kubwa.
Tabu ya timu ndogo kukamia timu kubwa-Mayele.Wamepata suluhu na Arsenal wakaona wameiva
We chura tuma tena ile picha tukuongezee points tatu za leounaelewa kweli unachokiongea? Arse88 ni timu kubwa kutoka lini?
Huyo jamaa ile sare ilimdanganya sanaWe chura tuma tena ili picha tukuongezee points tatu za leo