Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Aaaaaah Ni rahaa tupu wakubwa [emoji16][emoji16]
1696149237999.jpg
 
Tukubali hadi sasa wachezaji hawana shida, Kocha kazidiwa akili kwenye game plan
Wachezaji pia ni wapuuzi..

Ivi uyu Jackson alichokua anakifanya ni nini uwanjani, aya madueke ni winger kweli au ni beki.. winga gani hata kumpiga chenga mchezaji mmoja hawezi....

Kwa kocha kosa lake kubwa ni kuanzisha beki 3 wa kati, while we play with small team tena kwenye kiwanja cha nyumbani, hiyo ni poor poor mentality...

Pia sub sijaelewa kwanini Jackson aachwe acheze dakika zote, inaonekana kocha wetu anawapetipeti sana wachezaji..

He is not strong at all, gemu na arsenal umecheza vizuri why ubadili kikosi (assume enzo ana udhuru, vipi kuhusu mudryk, na pia vipi kuhusu malo gusto).. yaani na arsenal ujiachie kwakucheza na natural full back alafu gemi na Brentford uje ucheze na centre back wa 3, means mashambulizi uwe nayo upande mmoja tuu
 
Nahis hata kocha sizani kma anatosha sanaaaa sina hakika
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Pole sana ndugu yangu.
Mlivyomgonga Arsenyo goli 2 nikajua kweli mpo serious ila baada ya zile goli zote 2 kurudi nikajua tu mlikua mnatania.
Bado wewe kesho[emoji1787][emoji1787]

Week hii mtafute pakujificha

Kesho 7hag jina linabadilika ,akipigwa 8-0

Itakuwa 8hag
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom