unaelewa kweli unachokiongea? Arse88 ni timu kubwa kutoka lini?Walivokaza jumamosi hapo Stanford tukaondoka na suluhu ona leo.
Ugonjwa kama wa Azam jana, mnakaza kwa timu kubwa afu wanakuja tusuliwa na timu ndogo.

Mpira haujaisha ndugu zangu...Brentford pale OT alifungwa dk za nyongeza goli 2 chapchap....sio wa kuwaamini hawa mpk mpira uishe
Mpira unadunda mkuu...hata Jackson anaweza akaingia kambani mara 2Wa kufunga hizo bao 2 hapo haraka haraka ni nani?
Hawa wapumbavu tu
Pole mkuu. Lakini kabla ya kubet ungetuuliza sisi wenye timu yetu.Nyie wapumbavu mnashuka daraja
Hamna team humo
Fukuzeni kocha huyu haraka aje mzoefu kama Juup Haykes
Wapumbavu sana nyie
False No.9Bado Chelsea hii ni ya Kiduanzi sana, wanacheza bila plan, ethics za mpira wa timu kubwa sioni hapo. Kweli Arsenal nakubali sasa tulimkamia tu. Hakuna timu bado
Timu ya akina Gallagher na Cucurella juhudi bila akili, Jackson kama mdoli vile

KENGE sana nyinyi CHELTAKOZI

Nilikuahidi point 4 kwny hii ratiba yenu mliyonayo...hyu wa leo ndo alionekana dhaifu kidogo...mungu awasaidie kwakwliKipindi cha pili sidhani kama kuna shot on target kwa Chelsea