Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu Mentor hiyo STILL QUICKER THAN DEMICHELIS umenifurahisha sn Mkuu!
 
Last edited by a moderator:
watu huwa wanaibeza sana chelsea hawajui inaongozwa na football phylosopher, barca na uzur wke hajawah kutufunga hovyo
 
Asante! Mtakaa vizuri tu!

haya mkuu ila na nyie naona mmeanaza uasrenal kushinda vimechi viwili tu na kumfunga man city mnajiona mshachukua kombe tayari.mwenzenu alikaa juu pale miezi na miezi akaja kutolewa
 
16591_10202247461361582_684579589_n.jpg

I think they play like this. Very fast.

ferrari-enzo.jpg
 
mtaishia kuongea lazima kombe lije Blue color
waambie nitonye hawa wameshachoka
waende kupumzika kwani ngoma hawaiwezi kabisa
haya mkuu ila na nyie naona mmeanaza uasrenal kushinda vimechi viwili tu na kumfunga man city mnajiona mshachukua kombe tayari.mwenzenu alikaa juu pale miezi na miezi akaja kutolewa
 
Last edited by a moderator:
Wengine hamuonekani mpaka timu ishinde ndo mnakuja na mipichapicha yenu loh!mujiamini sasa,
 
"I didn't speak to the team - I am serious! It was Billy the masseur who spoke to them. He was screaming so much in his Scottish accent, going grrr, grrr, grrr, that I didn't understand, but the players were clapping so they must have got it! The last time I spoke to them was at lunchtime. It was Billy's team talk, I'm telling you. Billy was fantastic, I didn't understand, but it looks like the players did" - Jose Mourinho.
 
Last edited by a moderator:
Tutakua na game ya Newcastle wikend hii na pia ktk ya wiki ijayo tutakua ugenini dhidi ya WBA, kabla ya kwenda kwa Man City tena kwa game ya FA.

Ni wakati mzuri kwa Akina Ba kucheza! Jana Ba alicheza sekunde 30 na akaokoa kona iliyokua inaelekea langoni kwa Chelsea!
 
Mbio za kuwania ubingwa ziko Kati ya farasi wakubwa wawili na farasi mmoja mtoto aneitaji maziwa kunyonya!
 
Jana,nilipomuona Nemanja,Ramires na David,,Nilijua pale kati shughuli si ndogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom